Wizara ya mambo ya nje Israel wailalamikia Hezbollah kwa kuishambulia Israel bila kupumzika

Wizara ya mambo ya nje Israel wailalamikia Hezbollah kwa kuishambulia Israel bila kupumzika

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,381
Reaction score
11,296
Wizara inalalamika, Mazayuni hawapati muda wa kuliona jua, kila muda Mazayuni wanakimbilia kwenye mahandaki.

Hezbollah hawawatendei haki Waisrael.


View: https://x.com/IsraelMFA/status/2030951176682844346?s=20

Screenshot_2026-03-09-16-26-46-67_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Wizara inalalamika, Mazayuni hawapati muda wa kuliona jua, kila muda Mazayuni wanakimbilia kwenye mahandaki.

Hezbollah hawawatendei haki Waisrael.


View: https://x.com/IsraelMFA/status/2030951176682844346?s=20

View attachment 3555517

Wafuga Midevu na Majini Mkimaliza tu kufuturu akili zinawaruka na kuanza kubwabwaja ovyo ovyo!!!

Israel ina uwezo wa kupambana na Frontline saba kama ilivyokuwa Gaza iliweza kupigana na Hamas,Hezbollah, Houth, waasi waliokuwa huko Syria na Iraq,Magaidi waliokuwa wamejichimbia huko West-bank(Den's of lions)na Bwana wao Iran na wote walipigika sawasawa na wakaufyata mkia. Leo hii umeshiba daku unatuletea UHARO wa ajabu kabisa Israel si ya kutishwa na Hezboullah hii ya sasa ambayo ni Mdebwedo Hezbollah ilikuwa ile ya Gaidi Marehemu Hassan Nasrallah ambao nao walifyekelewa mbali na Operation Beeper!!!
 
Back
Top Bottom