Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi.
Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa .
Mkuu wa zamani wa usalama ni balozi, walimweka IGP wa zamani Sirro, kada wa CCM Polepole. Hawaleti cha maana. Yaani Raisi anaenda kuzuru Cuba ambako kumezidiwa na vikwazo toka Marekani kiasi kwamba hatuwezi hata kufanya nao biashara! Lakini ni kwasababu wamejaza makada badala ya wana diplomasia.
Rais weka watu watakao saidia nchi achana na makada na ndugu wa zanzibar ambao wamajaa kwenye balozi zetu bila tija