Wizara ya Mambo ya Nje: Mikataba na Hati za Makubaliano 78 zilisainiwa kati ya mwaka 2023/24

Wizara ya Mambo ya Nje: Mikataba na Hati za Makubaliano 78 zilisainiwa kati ya mwaka 2023/24

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema katika mwaka wa Fedha 2023/24, Serikali ilisaini Mikataba na Hati za Makubaliano 78 baina ya Tanzania na nchi 23

Nchi hizo ni Algeria, Indonesia, Falme za Kiarabu, Zambia, India, Noway, Urusi, Uganda, Cuba, Hungary, Malawi, Korea ya Kusini, Italia, Saudi Arabia, Japan, Angola, Rwanda, Marekani, Romania, Uturuki, Ivory Coast, Ethiopia na Ufaransa

Aidha, Wizara inaendelea kukamilisha ujenzi wa mfumo maalum wa Kielektroniki kwaajili ya upatikanaji wa haraka wa taarifa za utekelezaji wa Mikataba inayosainiwa na kuepusha Migogoro inayoweza kujitokeza.

1716894500259.png

1716894514614.png
 

Attachments

Back
Top Bottom