Nilikuwa na jamaa yangu hajui kabila langu, akawa anamsema mmiliki mwingine wa duka akidai ana roho mbaya kisa ni kabila fulani (bila kujua mimi ni kabila lilelile).
Nikamuuliza kwanini anahisi yule ana roho mbaya, akanipa sababu zisizo na mashiko. Nikaona ni mpuuzi nikamtaarifu mimi ni kabila lilelile na kwa vile amesema tuna roho mbaya simsaidii jambo lake (ambalo ni risk taking kwetu sote) asije akapatwa na shida akasingizia kisa mimi ni kabila lile wenye roho mbaya.
After that kakutana na watu tofauti tofauti wengine nimewakutanisha naye mwenyewe ila wanamlalamikia, mwingine ni mdada aliacha hata kuongea na mimi sijui kisa nini.
Ukiwa unatukana Uislamu, hutakiwi kukaribishwa kwenye futari.