Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Haya mambo ya kuingiza siasa mchezoni NGUMU sanasana
Hivi majuzi tu tuliona viongozi WA WIZARA ya MICHEZO wakinukuliwa final UTACHEZWA kwa mkapa na wakasisitixa wananchi mnunue.tkt.kwa wingi
Sasa tumesikia haya ya kuprlekana ZNZ
Wapendwa sasa zile semi za tutachezea kwa mkapa ziko wapi
Nauliza hivi wale.mliokata TKT MNA nauli ya KWENDA ZNZ na kurudi na JE mtawarudishia helà zao Hawa wapendwa
VYEMA mkawa wakweli wakati mwingine KUONDOA haya makando kando tumwamini nani CAF ama mliosema UWANJA UKo sawa na UTACHEZWA final