Huu ufafanuzi umekaaje? Ni kwa mechi za ligi tu au hadi za Kimataifa? Manake huo wa Mkapa kwa ligi za ndani uliishafungiwa. Kama ni ndani na Kimataifa waende Rwanda ili Serikali ione wivu.Baada ya tff kukifugia kiwanja cha uhuru Wizara pia imekifungia kiwanja cha mkapa
Kwa maoni yangu kinachotafutwa hapa ni kuhamishia Mechi katika dimba Amani Zanzibar ili kumfurahisha bi mkubwa, usishangae mechi za ligi na za kimataifa zikahamishiwa hukoView attachment 2850030
Mkapa siyo uhuruKwa vigezo vya CAF hapa Tanzania ni Uhuru pekee, sasa tukachezee Rwanda mbwa hawa liwashuke
Kwa vigezo vya CAF ni Azam Chamazi na MkapaKwa vigezo vya CAF hapa Tanzania ni Uhuru pekee, sasa tukachezee Rwanda mbwa hawa liwashuke
Huu ufafanuzi umekaaje? Ni kwa mechi za ligi tu au hadi za Kimataifa? Manake huo wa Mkapa kwa ligi za ndani uliishafungiwa. Kama ni ndani na Kimataifa waende Rwanda ili Serikali ione wivu.
Naunga mkono hoja, twenzetu Rwanda ila tujiandae kufunguliwa kesi za uhujumu uchumi.Kwa vigezo vya CAF hapa Tanzania ni Uhuru pekee, sasa tukachezee Rwanda mbwa hawa liwashuke