Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Baada ya TFF kukifugia Kiwanja cha Uhuru Wizara pia imekifungia Kiwanja cha Mkapa
Kwa maoni yangu kinachotafutwa hapa ni kuhamishia Mechi katika dimba Amani Zanzibar ili kumfurahisha Rais Samia, usishangae mechi za ligi na za kimataifa zikahamishiwa huko.