Wizara ya Nape na Wizara ya Makamba zote zinawatesa wananchi

Wizara ya Nape na Wizara ya Makamba zote zinawatesa wananchi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua.

Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na vitu vingi fanani navyo vinaharibika kwa kuungua na hata biashara zitegemeazo umeme zinaharibika.

Hongera Rais Samia!
 
Uzuri wa Nape sijawahi kuskia kashfa yoyote ya ufisadi kumhusu, ila huyo mwingine, ufisadi aliuanzia shuleni alipoiba mitihani anauendeleza mpaka serikalini.
 
Kwa sababu tu
Waliwasifiwa baada ya lukamilisha kuuangusha Mbuyu.

Sasa kazi inaendelea kote nchini!
 
Yote ni kwa sababu ya laana waliochiwa na mwendazake,hakuna wizara watakayopewa wakatoboa kamweeeee.
 
Uzuri wa Nape sijawahi kuskia kashfa yoyote ya ufisadi kumhusu, ila huyo mwingine, ufisadi aliuanzia shuleni alipoiba mitihani anauendeleza mpaka serikalini.
Baada ya kampeni 2015 alijitaifishia V8 mbili za chama. Kamati ya kina Dr Bashiru wakazirudisha kwenye chama.

Pia ana skendo ya kuiba uchaguzi 2015 na kuwatolea bastola wananchi wa mtama kwamba ole wao walete zogo.
 
Back
Top Bottom