Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua.
Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na vitu vingi fanani navyo vinaharibika kwa kuungua na hata biashara zitegemeazo umeme zinaharibika.
Hongera Rais Samia!