Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

Msambaa aliyetaga Galanos na Forest hill ana strategies za Kishamba sana
 
Safi a different way to do things. Moving away from a traditional way of thinking.
 
Anaajiri yeye kama yeye au Serikali kupitia Tanesco ndio wanaajiri?

Pili kwani kabla ya hapo utaratibu ulikuaje? Maana pesa kubwa isije kutumia kwenye kazi za administration badala ya kusambaza umeme na ku stabilise grid..Afafanue .
 
Kama taarifa imetolewa na wizara basi Ina makosa. Makamba haajiri, Bali serikali ndio inaajiri.
 
Duuh! Hapo una meneja wa tanesco wilayani, mikoani n.k. meneja anasimamia miradi hiyo huku akiwa na vijana walioajiriwa lkn cha kushangaza wanaajiri wa kufuatilia mashimo, nguzo, vifaa n.k 😁😁😁 HUKU NI KUMAANISHA UONGO UMEJAA na hata wakidanganya na ikabainika bado hawawajibishwi ili kulikomesha hilo. Unaajiri mlinzi ila bado unamuwekea wa kumchunga kama hasinzii kazini.
 
Siku hizi ajira zinatangazwa na Waziri au Wizara sio tena Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma au mimi sijaelewa ni ajira za vijana wake yeye Makamba au vijana wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…