Bajeti hiyo imewasilishwa Bungeni na Waziri #JanuariMakamba ikiwa ni makadirio ya matumizi ya mwaka 2023/24 ambapo kuna ongezeko la Tsh. Bilioni 142.65 kutoka Tsh. Trilioni 2.91 zilizoombwa mwaka 2022/23.
Kuhusu hali ya Umeme Nchini, amesema hadi kufikia Mei 15, 2023 uzalishaji ni Megawati 1,872.05 na matumizi ni Megawati 1,431.59, sawa na ongezeko la (6.8%) iliyotokana na mahitaji ya Wateja wakubwa vikiwemo Viwanda na Biashara.
Vipi Mdau, una maoni gani kuhusu Upatikanaji wa Umeme mtaani kwako?