BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25
Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili ya matumizi mengineyo.
Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili ya matumizi mengineyo.