Salaam Aleikum,
Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana alignment nzuri. Anatumia nguvu nyingi kwenye petty issues na bado faults zinakuwepo. Mama kama anasoma humu, atusaidie Jaffo arudi pale Tamisemi.