Uko sahihiUngesema wapi anapofeli ili tulinganishe. Mimi binafsi naona hakuna jipya tamisemi ni ile ile hakuna kilichoongezeka
TAMISEMI ngumu sana
kwahiyo bro unaona mkwe wa Rais hafai? we jamaa mambo ya kifamilia achana nayo kabisaaaaaa, kimsingi hakuna waziri wa hangaya anayefaa hata mmoja .Salaam Aleikum,
Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana alignment nzuri. Anatumia nguvu nyingi kwenye petty issues na bado faults zinakuwepo. Mama kama anasoma humu, atusaidie Jaffo arudi pale Tamisemi.
Bora iwe hivyo hili dude ni kubwa sana.Huwa naona isiwepo tu kila wizara ibebe jukumu lake maana tamisemi ni combination ya wizara nyingi sana hao ma dc,das,ded,ras na reo wakishirikiana na watumishi wa umma watumike huko serikali za mitaa kama wawakilishi wa wizara mbalimbali.
Nitajie mambo matano ambayo mpaka sasa anaweza kusimama akatuambia ameyafanya pale tamisemi, Obviously hakuna. Kajikuta kwenye petty petty issues ambazo napo hapati matokeo.Ungesema wapi anapofeli ili tulinganishe. Mimi binafsi naona hakuna jipya tamisemi ni ile ile hakuna kilichoongezeka
Mnavyojiitaga chawa kisa mnapewa hela za vocha hadi akili zinawapotea kichwani, bora uwe chawa wangu naweza kukupa ardhi mbweni, ukijua kwanini ummy alitoka tamisemi hautakaa kuniuliza tena kwamba mlisema hafai, senge nini.Hata Ummy mlisema hafai. Mchengerwa yupo vizuri
Dah...sijakutukana braza. Umetoa thread tegemea maoni tofauti. Sijui Ummy ni shangazi yako au lah. Nimesema kilichokuwa kinasemwa wakati wake.senge nini.
Tunahitaji mifumo bora ambayo sio mtu ndio ataleta ufanisi katika sehemu husika bali mifumo ndio umlazimishe mtu kuwa mfanisi.Salaam Aleikum,
Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana alignment nzuri. Anatumia nguvu nyingi kwenye petty issues na bado faults zinakuwepo. Mama kama anasoma humu, atusaidie Jaffo arudi pale Tamisemi.
Waliopita walifanya mambo gani tuanze hapo kwanza ndo maana nikasema utaje mambo yaliofanya na waliopitaNitajie mambo matano ambayo mpaka sasa anaweza kusimama akatuambia ameyafanya pale tamisemi, Obviously hakuna. Kajikuta kwenye petty petty issues ambazo napo hapati matokeo.
Wewe kauze mashuka huko.Waliopita walifanya mambo gani tuanze hapo kwanza ndo maana nikasema utaje mambo yaliofanya na waliopita
Kwa sababu mifumo hakuna, tunataka mtu sasa. Nyie wa mifumo anzisheni uzi wenu.Tunahitaji mifumo bora ambayo sio mtu ndio ataleta ufanisi katika sehemu husika bali mifumo ndio umlazimishe mtu kuwa mfanisi.