Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi.
Jambo la ajabu ni kwamba:-
1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana.
2. Barua za kushushwa cheo nazo wamepokea mwezi huu, lakini barua hizo zinaonekana ziliandikwa na kusainiwa tangu mwez September 2024.
Kwahiyo, kwa kuziangalia tarehe za barua, utaona mwalimu ameshushwa cheo halafu akiwa sio mwalimu mkuu ndio amepokea barua ya onyo.
Boma la ifakara linalalamikiwa sana kwa ukabila (uzawa) inashusha sana morale ya walimu ambao wanasifa mbalimbali lakini sio wazawa wa bonde la Kilombero.
Nyinyi mnauwezo wa kufatilia jambo hili kiundani na kulitafutia ufumbuzi. Mnavyombo vingi vinavyoweza kusaidia upatikanaji wa taarifa kwa kina.