Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu nendeni Ifakara mkajionee madudu

Nyie si ndio CCM B!! Hii barua peleka Lumumba sw. Itafanyiwa KAZI mapema MNO!!
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Narudia tena, UKIONA KAZI YOYOTE AMBAYO HAIJALI SENIORITY HIYO KAZI NI YA KIJINGA. KWENYE UALIMU UTAONA MWALIMU MWENYE CHEO KIKUBWA ANONGOZWA NA MWALIMU MWENYE CHEO KIDOGO. Lima tumbuku kama mimi mkuu.
 
Sasa ww kushushwa vyeo kama mmefanya vitu vya ovyo msishushwe.. ungetoa na sababu mliyopewa ya kushushwa vyeo ndio tungepima ni halali au sio.
 
Unaandika Kama mganga. Kama kibaooo

Wewe mganga nini?? Kama kibaoooo (acha ramli) hiyo stori nimeisogeza jamvini hainihusu.
 
Kwaiyo ulivo mjinga na wewe umeisogeza jamvini na haijatimia...Wewe huna akili ujue hii stori haija balance ww unapost tu.
 
Narudia tena, UKIONA KAZI YOYOTE AMBAYO HAIJALI SENIORITY HIYO KAZI NI YA KIJINGA. KWENYE UALIMU UTAONA MWALIMU MWENYE CHEO KIKUBWA ANONGOZWA NA MWALIMU MWENYE CHEO KIDOGO. Lima tumbuku kama mimi mkuu.
Katika uhalisia wa kazi ni kuwa "cheo ni majukumu ya kiofisi", siyo ngazi ya mshahara, elimu na mafunzo.
 
Huu utaratibu unaosema unatumika kwa walimu tu, ndio maana nakwambia ni kazi ya kindwanzi. Jeshini ni lazima upandishwe cheo ndio upewe "ukuu". Unawezaje kuwaongoza watu waliokuzidi cheo? Ndio maana kazi hiyo imekuwa haina heshima.
 
Duu! Hatari.
 
Cheo
Cheo haukuzaliwa nacho,kikubwa chapa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…