Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi.
Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta?
Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A" wala "B".
Utakuta mtu hata kutuma email kwenye kishkwambi ulichompa hawezi. Elimu yetu inauwawa na waliopewa dhamana.