Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chimba MatutaDah nielekeze vuzuri chief
Nyie ndo mnaibia walimu hapo Meru sio? Vodafasta hapo nani? Huyo Vicent au?Nimehama mie Niko uhasibu. Hahesabu Hela zenu. Ualimu ni kazi niliyoipenda kutoka moyoni. Lakini najutia umasikini huu.
Nepotism sio depotism mkuu.Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi.
Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta?
Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A" wala "B".
Utakuta mtu hata kutuma email kwenye kishkwambi ulichompa hawezi. Elimu yetu inauwawa na waliopewa dhamana.
Maisha ni vita Mura,jikombe ukomborewe tata!Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi.