Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
No Way, ukweli usemweDepotism is real, build getter tommorow!
Jikombekombe kwa hao vigogo upewe asali mama usijikunyate mwenyewe kunjuka,No Way, ukweli usemwe
Nimehama mie Niko uhasibu. Hahesabu Hela zenu. Ualimu ni kazi niliyoipenda kutoka moyoni. Lakini najutia umasikini huu.Jikombekombe kwa hao vigogo upewe asali mama usijikunyate mwenyewe kunjuka,
Sawa vizuri mama tuhesabie tu hizo hela,Nimehama mie Niko uhasibu. Hahesabu Hela zenu
Mkuu watanzania sio kwamba hatujui kizungu...outskirts?Eti kuna waalimu wanatumia kishkwambi huku outskirts ya Tanzania!
Hata mie simuelewi huyu mkuuEti kuna waalimu wanatumia kishkwambi huku outskirts ya Tanzania!
Getter?Depotism is real, build getter tommorow!
Kwa kweli yatakuwa ni maajabu makubwa hasa kwa kuwa hawa walimu wa voda fasta waliondolewa wote makazini mwaka 2018-2019 hivi;Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa afisa Elimu...
Yeas getters tommorow, vigogo waliosoma Cuba wanaelewaGetter????
Hii kada mbona mnalalamika sana jamani?Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa afisa Elimu
Haya ni maajabu nna uabunuasi...
Huku elimu hizo PhD wala MA haziangaliwi.Aisee na hizi PhD na MA za kupeana ndiyo imetoka ivyo. Wasio na connection ndiyo basi tena
Dah nielekeze vuzuri chiefHuku elimu hizo PhD wala MA haziangaliwi.
Huku ni file namna unaweza kupenya tu.
Sasa tafuta mpenyo unaweza kuwa hata Afisa Elimu yoyote bila kupitia cheo chochote.
Tafuta Mpenyo tu utanishukuru