Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion kutoka Usa-Kikatiti hawajamaliza, kampuni haina vitendea kazi kabisa na wasafiri wakipita wanawazodoa waziwazi!
Kampuni yenyewe kumbe ni ya ubia kati ya Meneja wa Tanroads mkoa wa Arusha vilevile mchaga wa Moshi! Nchi hii sahivi hakuna hata aibu. Barabara kubwa na bize km ile ilitakiwa ijengwe na kampuni kubwa za nje km za China, barabara inatakiwa ipanuliwe, iwekwe vituo vipya,kwenye milima iwekwe njia 3!
Ni aibu kwamba kweli nchi haina uongozi kutoka juu mpaka kwa waziri, waziri Abdallah Ulega yule ni hewa! Rais naye amejificha wala hataki kujua kinachoendelea! Serikali hii ni dhaifu haijawahi kutokea, matajiri na viongozi wa wataipiga hii serikali mpaka mjue hamjui! Kila mtu anajifanyia anavyojisikia hakuna kiongozi mkuu! TUMEKWISHA!