Tunachoangalia ni, je kazi imefanyika? Je kazi imefanyika vizuri? Isije ikawa baada ya mwezi barabara inaanza kuwa na mashimo, inaharibika, tunataka value for money, awe amejenga Mchina, Mmatumbi, Mzungu, Mhindi, au Mwarabu. Tunataka barabara nzuri, siyo kwa sababu ni mmatumbi kajenga ikiharibika asiulizwe kwa sababu ana ngozi kama yako....NO, Haitawezekana, tunataka barabara nzuri ambazo zitakaa muda mrefu kabla ya repair. Haijalishi nani kajenga. Kuna barabara moja maeneo ya Njiro au Moshono inajengwa na mzawa (Ambazo zimetoa 10%) urefu wa Kilometa Mbili hadi kukutana na Bypass (I think), hadi jana ni miaka miwili, malori yanalundika mchanga katikati ya barabara........Sasa nikuulize wewe usiyelamba matako ya wazungu au wachina, wewe unayelamba matako ya wamatumbi wenzio, je kama kilomita mbili haijakamilika kwa miaka miwili, je kilometa 500 itakamilika kwa muda gani? Pia nikuulize, wewe unaona ni sawa pesa zikipigwa na kazi haifanyiki? Je unafaidika nini kwa kazi mbovu ya barabara ambayo haina kiwango, yaani baada ya mwezi mmoja zinaanza kubomoka?????JARIBU KUFIKIRI NDUGU.