Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Hadhi na uwezo wa hii kampuni ambayo nayo inajiita Kings Building ni ya kujenga barabara za uchochoroni au za mitaani. Barabara kuu ya Arusha-Moshi ni barabara kubwa inayohitaji contractor wa kimataifa, ni barabara inayotumiwa na watalii wengi sana nchi hii, inatumiwa na malori mengi yanayotokea bandari 2 za Tanga na Mombasa, ina mabasi mengi tokea Dsm, Tanga, Moshi na maeneo mengine mengi, unakuta foleni kwa sasa inaanzia mji wa Kikatiti Kilometa zaidi ya 30 nje ya jiji la Arusha ilitakiwa ipanuliwe iwekwe kisasa. Hivi hata Rais haoni aibu kampuni km hii kupewa tenda hii? Ingekuwa Rais serious Ulega alitakiwa apigwe chini, hii ni dili ya Meneja wa TanRoads mkoa wa Arusha aliyekaa pale miaka zaidi ya 20 sahivi anafanya kazi kikabila, ameihonga wizara nzima.Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion kutoka Usa-Kikatiti hawajamaliza, kampuni haina vitendea kazi kabisa na wasafiri wakipita wanawazodoa waziwazi!
Kampuni yenyewe kumbe ni ya ubia kati ya Meneja wa Tanroads mkoa wa Arusha vilevile mchaga wa Moshi! Nchi hii sahivi hakuna hata aibu. Barabara kubwa na bize km ile ilitakiwa ijengwe na kampuni kubwa za nje km za China, barabara inatakiwa ipanuliwe, iwekwe vituo vipya,kwenye milima iwekwe njia 3!
Ni aibu kwamba kweli nchi haina uongozi kutoka juu mpaka kwa waziri, waziri Abdallah Ulega yule ni hewa! Rais naye amejificha wala hataki kujua kinachoendelea! Serikali hii ni dhaifu haijawahi kutokea, matajiri na viongozi wa wataipiga hii serikali mpaka mjue hamjui! Kila mtu anajifanyia anavyojisikia hakuna kiongozi mkuu! TUMEKWISHA!
Una mawazo ya kutawaliwa.Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion kutoka Usa-Kikatiti hawajamaliza, kampuni haina vitendea kazi kabisa na wasafiri wakipita wanawazodoa waziwazi!
Kampuni yenyewe kumbe ni ya ubia kati ya Meneja wa Tanroads mkoa wa Arusha vilevile mchaga wa Moshi! Nchi hii sahivi hakuna hata aibu. Barabara kubwa na bize km ile ilitakiwa ijengwe na kampuni kubwa za nje km za China, barabara inatakiwa ipanuliwe, iwekwe vituo vipya,kwenye milima iwekwe njia 3!
Ni aibu kwamba kweli nchi haina uongozi kutoka juu mpaka kwa waziri, waziri Abdallah Ulega yule ni hewa! Rais naye amejificha wala hataki kujua kinachoendelea! Serikali hii ni dhaifu haijawahi kutokea, matajiri na viongozi wa wataipiga hii serikali mpaka mjue hamjui! Kila mtu anajifanyia anavyojisikia hakuna kiongozi mkuu! TUMEKWISHA!
Kasema ukweliUna mawazo ya kutawaliwa.
Kwani wachina mabwana zako?
Watanzania wenye mawazo ya kujidharau ndio wanaamini kubebwa bebwa na wachina.
Hao Tocktronics wamepewa vibarabara vya mita 300 huko Moshi Nashangaa mno kusikia eamepewa wajenge barabara ya Moshi-Arushaβs!Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion kutoka Usa-Kikatiti hawajamaliza, kampuni haina vitendea kazi kabisa na wasafiri wakipita wanawazodoa waziwazi!
Kampuni yenyewe kumbe ni ya ubia kati ya Meneja wa Tanroads mkoa wa Arusha vilevile mchaga wa Moshi! Nchi hii sahivi hakuna hata aibu. Barabara kubwa na bize km ile ilitakiwa ijengwe na kampuni kubwa za nje km za China, barabara inatakiwa ipanuliwe, iwekwe vituo vipya,kwenye milima iwekwe njia 3!
Ni aibu kwamba kweli nchi haina uongozi kutoka juu mpaka kwa waziri, waziri Abdallah Ulega yule ni hewa! Rais naye amejificha wala hataki kujua kinachoendelea! Serikali hii ni dhaifu haijawahi kutokea, matajiri na viongozi wa wataipiga hii serikali mpaka mjue hamjui! Kila mtu anajifanyia anavyojisikia hakuna kiongozi mkuu! TUMEKWISHA!
Waziri futuhi hamna kitu pale zabuni nyingi kwa sasa wakandarasi walio makini wanazikataa kwahiyo wale wachovu wanakubali wafanyaje ili nao waonekane wapo kwenye game kwahiyo ili ionekane mambo yanaenda wanapewa lakini ukweli wa mambo yamekwamaKuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion kutoka Usa-Kikatiti hawajamaliza, kampuni haina vitendea kazi kabisa na wasafiri wakipita wanawazodoa waziwazi!
Kampuni yenyewe kumbe ni ya ubia kati ya Meneja wa Tanroads mkoa wa Arusha vilevile mchaga wa Moshi! Nchi hii sahivi hakuna hata aibu. Barabara kubwa na bize km ile ilitakiwa ijengwe na kampuni kubwa za nje km za China, barabara inatakiwa ipanuliwe, iwekwe vituo vipya,kwenye milima iwekwe njia 3!
Ni aibu kwamba kweli nchi haina uongozi kutoka juu mpaka kwa waziri, waziri Abdallah Ulega yule ni hewa! Rais naye amejificha wala hataki kujua kinachoendelea! Serikali hii ni dhaifu haijawahi kutokea, matajiri na viongozi wa wataipiga hii serikali mpaka mjue hamjui! Kila mtu anajifanyia anavyojisikia hakuna kiongozi mkuu! TUMEKWISHA!
Suala ni kazi ifanyike kwa usahihi, siyo mzawa apewe hata kama hajui anachofanya. Value for money. Barabara ijengwe imara haijalishi kama ni mzawa au si mzawa.Nyie hamna jema akipewa mchina mtalalamika mtasema wazawa wanasahaulika
Kama hazifanyi vizuri? Zipewe? C'mon guys you need to be better than this. Hatuangalii mzawa au siyo mzawa, tunachotaka ni barabara zijengwe kwa viwango......HAKUNA KINGINE.Mleta uzi , relax zamu Yako itafika TU ,
Hii Nchi ni yetu sote tutaijenga pamoja.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Tunataka construction companys za wazawa , wapewe uwezo wa kujitegemea β π
Hawatoi advance sikuhizi utasubiri sana kuipata mambo yamekuwa valuvalu sikuhiziKwanza wamelipwa advance Yao? usijetoa tuhuma kumbe wanakopesha toka mifukoni kwao
Wewe utakuwa hufikiri sawasawa. Competence ni jambo lingine kbs. Unafahamu wameanza lini? Umeona mitambo wanayotumia? Umeona wanachokifanya?Mleta uzi una chuki za kikuda sana. Rocktronic ni kampuni kubwa yenye uzoefu wa kutosha. Ninakumbuka kwenye awamu ya 4 walijenga barabara nyingi kanda ya kaskazini. Inawezekana ulitaka hiyo tenda ukapigwa chini. Halafu hayo mawazo yako ya kipumbavu kusema hiyo kazi inahitaji mkandarasi kutoka nje peleka CHADEMA kwa sababu ndo wenye tabia kama yako kulamba matako ya wazungu.
Shukuru tu angalau vipesa vitabaki ndani ya nchi, kama wamepeana kazi watafanya kwa kuwa Ujenzi hauna kificho,Sasa hivi kila mtu anakula urefu wa kamba yake!!Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion kutoka Usa-Kikatiti hawajamaliza, kampuni haina vitendea kazi kabisa na wasafiri wakipita wanawazodoa waziwazi!