HOJA Wizara ya Ujenzi Kampuni maskini ya Moshi iitwayo RockTronic ni ya kuipa tenda ya kujenga barabara ya Arusha-Moshi?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Chadema imeingiaje hapa issue ni Tanroads na mkandarasi
 
Tupunguze roho mbaya na chuki 🤬🤬🤬🖕🖕🖕
Kuna watanzania walio wajinga jinga wanapenda kubebwa bebwa.
Wana chuki mtanzania akipata kazi za kumwinua yeye na Taifa. Wanaona heri mgeni afaidike tukose wote na tuwe masikini.
Roho ya kishamba sana.
Mtoa mada siajabu anaishi nyumba ya mbavu za mbwa koko.
 
Kikubwa ijengwe tu kwa viwango na na ikamilike kwa muda sahihi hayo mengine ya kampuni ya uzawa sio ya msingi sana. Mkandarasi anaweza kuwa mgeni na akafanya madudu tu na wakandarasi wengine wengi tu ni wazawa wanafanya kazi vizuri tu kwa viwango vya hali ya juu. Makandarasi wapo katika madaraja (grade) tofauti tofauti. Ukiona huyo mkandarasi kapewa kazi kubwa kiasi hicho ujue amefikia hilo daraja. Pia makandarasi sio wote wenye vifaa/mashine zote lakini huwa wanakodisha kifaa fulani kutokana na kazi husika. Na hii ni kawaida sana kwenye sekta ya ujenzi.

Tukirudi sasa kwa huyo mkandarasi ni lazima serikali iangalie sana kwa ukaribu na ijiridhishe uwezo wa huyo mjenzi wa hiyo barabara kwani ni moja ya barabara hatarishi sana Tanzania kwa sasa. Kuendesha gari katika hiyo barabara inahitaji tu usiwe na haraka lakini ukijifanya una haraka na haufahamu hiyo njia vizuri lazima tu usababishe ajali kutokana na wembamba na mahandaki. Kwa hiyo serikali ihakikishe huyo mkandarasi ana uwezo wa kuitengeneza hiyo barabara ikidhi mahitaji ya sasa na ya wakati ujao tofuti na sasa ambavyo ilijengwa kukidhi wakati uliopita.

Ni mtizamo tu
 
Nakubaliana kabisa mkuu.
Nasikitika kuna watu ni wajinga kabisa.
Mfano hapa Dare salaam , Mkandarasi mchina kappewa kazi sasa zaidi ya miaka minne anasuasua tu, na kazi ni mbovu.
Utafikiri hawaoni.
 
Tunachoangalia ni, je kazi imefanyika? Je kazi imefanyika vizuri? Isije ikawa baada ya mwezi barabara inaanza kuwa na mashimo, inaharibika, tunataka value for money, awe amejenga Mchina, Mmatumbi, Mzungu, Mhindi, au Mwarabu. Tunataka barabara nzuri, siyo kwa sababu ni mmatumbi kajenga ikiharibika asiulizwe kwa sababu ana ngozi kama yako....NO, Haitawezekana, tunataka barabara nzuri ambazo zitakaa muda mrefu kabla ya repair. Haijalishi nani kajenga. Kuna barabara moja maeneo ya Njiro au Moshono inajengwa na mzawa (Ambazo zimetoa 10%) urefu wa Kilometa Mbili hadi kukutana na Bypass (I think), hadi jana ni miaka miwili, malori yanalundika mchanga katikati ya barabara........Sasa nikuulize wewe usiyelamba matako ya wazungu au wachina, wewe unayelamba matako ya wamatumbi wenzio, je kama kilomita mbili haijakamilika kwa miaka miwili, je kilometa 500 itakamilika kwa muda gani? Pia nikuulize, wewe unaona ni sawa pesa zikipigwa na kazi haifanyiki? Je unafaidika nini kwa kazi mbovu ya barabara ambayo haina kiwango, yaani baada ya mwezi mmoja zinaanza kubomoka?????JARIBU KUFIKIRI NDUGU.
 
Uwezo ni muhimu ndugu yangu, awe mzawa(Mmatumbi) au mgeni (Mchina, Mjapan, Mzungu, Mhindi). Wote wanahitajika kufanya kazi nzuri, huwezi kumpa kazi mzawa kwa sababu ana rangi inayofanana nawe. Ni sawa na kumpa kazi ya urubani mtu asiyestahili kwa sababu ana rangi inayofanana na sisi, Akiangusha ndege? Tujali professions bila kujali ni mwenzetu au hapana.
 
Kama hazifanyi vizuri? Zipewe? C'mon guys you need to be better than this. Hatuangalii mzawa au siyo mzawa, tunachotaka ni barabara zijengwe kwa viwango......HAKUNA KINGINE.
Kama serikali ni lazima tuwajeengee wazawa uwezo wa kujitegemea, LA sivyo usalama wa Nchi utakuwa mashakani,

Tusiwe watu wa kulaumu, tuje pia na mawazo Bora ya kutatua changa moto zilizopo.

Kumbuka hizo ni pesa zenu walipa Kodi, serikali inawarudushia ili kukuza ustawi kwenye jamii,

Relax zamu Yako itafika TU 😂.
 
Zipo kampuni za ndani zenye uwezo au waingie ubia.
Maendeleo endelevu yatapatikana kwa kujenga miundombinu yetu wenyewe na hata kwenda nje kama Burundi na Kongo kwa kuanzia.
 
Ninajizuia sana nisikuite mpumbavu ila naona inakuwa ngumu.
 
Ninajizuia sana nisikuite mpumbavu ila naona inakuwa ngumu.
Wewe ni mpumbavu, mshenzi usiye na akili, unatumia matako yako kufikiri. Hujui unachoongea MKUND$ WAKO, Shoga mkubwa usiye na adabu wala akili, unazo akili za huko MCHAMBAWIMA, fala wewe. Huna pointi hujui hata unapotetea Kwa hiyo wewe kwa sababu unafikiri kwa kutumia MAKALIO yako, unaona ni sawa pesa za wavuja jasho wa Tanganyika zitumike ovyo kuwasaidia MABASHA wako wanyonge wa kiunguja (WATWANA NA MAHAWARA ZAKO) wazitumie isivyo sawa. BARADHULI WEWE MKUBWA. Fala wewe usiye na akili
 
Unajiita Mama Samia
Ninajizuia sana nisikuite mpumbavu ila naona inakuwa ngumu.
Unajiita Mama Samia 2025, unamchafulia sifa rais, eti unajiita Mama Samia, ufikiri wako unapingana na hilo jina. Fala wewe, tunaongea vitu vya maana hapa, wewe unajinyea nyea fala wewe. Baradhuli, mwana haramu. Mkund% wa mama yako.
 
Ndugu ustaarabu ni kitu muhimu sana. Hakuna haja ya kutukanana matusi ya nguoni. Sio sawa. Kimsingi hii comment yako ni ya kik♡ma
 
Contractor wa kimataifa...broo si tumekubaliana saivi tujitawale sasa wa kimataifa atoke wapi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…