HOJA Wizara ya Ujenzi Kampuni maskini ya Moshi iitwayo RockTronic ni ya kuipa tenda ya kujenga barabara ya Arusha-Moshi?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndugu ustaarabu ni kitu muhimu sana. Hakuna haja ya kutukanana matusi ya nguoni. Sio sawa. Kimsingi hii comment yako ni ya kik♡ma
Wewe ulianza kutukana, sasa unalia lia nini wewe BARADHULI, Mwanaharamu. Fala wewe. Endelea tena uone matusi utakayopata, nitakuweka chini sana na mbwa koko fala wewe. ENDELEA KAMA WEWE MWANAUME SHOGA WEWE.
 
Miaka yote hii mliyosaidiwa na wazungu kujengewa hadi vyoo vya kujisaidia wewe, baba yako, mama yako, shangazi na wajomba zako pamoja na watoto zako na majirani ili mkajisaidie msiende kunya msituni au baharini, JE USALAMA WA NCHI ULIKUWA MASHAKANI KIVIPI? Hivi wewe unao uwezo mkubwa wa kufikiri au umelewa? Jeshi lenu juzi lilikuwa kwenye mafunzo na majeshi ya NATO kule Pwani.....Je kulikuwa na mashaka juu ya usalama wa nchi? Acha upumbavu wewe, Fikiri vizuri, usiropoke kitu kama hujui. Barabara za TZ zimejengwa na chi tofauti tofauti..........Kuanzia waingereza (Barabara ya Songea), wajapani, wamarekani hadi kuna vibao vyao hadi sasa, Brazil, Kuwait, Iran, China etc. je usalama wa nchi uliharibika? Acheni propaganda za Nyerere.
 
Waswahili kwa wivu mmeshindikana hapo tatizo kapeea kazi mzawa
Tunataka kazi nzuri iliyotukuka na inayolingana na pesa iliyotolewa na serikali ambayo kimsingi ni pesa zetu za kodi. Siyo kwa sababu ni pesa za umma ndiyo zichezewe.
 
Utasaidiwa mpaka lini wewe ,
Kama wewe huwezi KAZI acha wa TANZANIA wenzako wafanye,

Nchi haiwezi kuendelea kwa ku ajiri TU, badli sectors Binafsi za wazawa, na ni jukumu la serikali kuweka mazingira wezeshi Kwa ajili ya ukuaji wa private sectors.

Kwa mada ulioileta hapa , tanroads ndio mkaguzi na msimamizi wa mradi, mpaka kukamilika kwake, kungekuwa na Tatizo tranroads wangetoa notes.

Kuhusu Nyerere Mimi nazipinga sera zake za serikali kufanya shughuli zote za serikali na kutafuna mitaji ya watu, na ndio maana na support private sectors za wazawa first.

Hata china ,japan, USA etc wanalinda companies zao za ndani, kwa kuweka sera Bora za wazawa kukuwa kwa technology, mitaji.

MTU chake✅
 
Ni Km ngapi hiyo barabara?

Watamnyang'anya tu ni suala la muda,wazawa wapewe kuziba viraka ndiyo uwezo wao.😀

Kahama mmoja kaishia kuchimbua lami ya zamani halafu kapewa mchina!
 
Tunataka kazi nzuri iliyotukuka na inayolingana na pesa iliyotolewa na serikali ambayo kimsingi ni pesa zetu za kodi. Siyo kwa sababu ni pesa za umma ndiyo zichezewe.
Nyamaza wewe hujui tu kinachoendelea nchi hii hao wakandarasi wazawa wengi Wana madeni makubwa kwajili ya kazi za ujenzi za nchi hii Serikali hailipi makampuni yanakopa. Wewe unadhani kwanini Serikali haiendi kwa makampuni ya nje kwa sasa ni kwakua hayakopesheki Wanabaki kuwaumiza watanzania.
 
Kama bado hujawa mchawi basi unaelekea. We are all trying to survive bro, huyo masikini asipopewa hela atakuwaje tajiri? Maskini mna roho mbaya sana, upigwe na radi ufe msenge wewe
 
Wewe, Tanroads na Tarura zimefanya kazi gani? Hadi sasa zimeshindwa kusimamia kazi za ujenzi, wanasuasua kila kona. Wewe kweli hujui, hizo ni bárabara au mahandaki. Muwe mnaongea vitu mnavyofahamu, nina marafiki niliosoma nao wanafanya huko TANROADS, kiufupi ni disasters.
 
Ndio maana tenda nyingi wanapewa watu wa nje.
 
Kazi bora apewe mzawa au mchina?
 
Mkuu shida Iko wapi Barbara ya moshi kampuni ya moshi shida Iko wapi mkuu ?
 
Mkuu kunywa maji
 
CHADEMA ni walambaji maarufu wa matako ya wazungu.
wewe ni miyeyusho huna hoja tunaongelea masuala ya ukata kwa ukandarasi na maswaibu wanayokutana nayo kutokana na kucheleweshewa malipo na ukata unaoikabili wakala wa barabara kwa sasa unaleta mambo ya Chadema kwani wao ndio wanalipa hao wakandarasi?​
 
Jikite kwenye hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…