otembei
New Member
- Sep 19, 2022
- 3
- 0
Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye
Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule ilivunjwa na jengo la TANROADS Liliovunjwa kupisha mradi nani aliyopo nyuma yake.?
Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule ilivunjwa na jengo la TANROADS Liliovunjwa kupisha mradi nani aliyopo nyuma yake.?