Ukifika Kamanga Ferry utaona Sheria za TASAC,TPA zinavyokanywagwa lakini ngoja iseme neno moja likitokea la kutokea hapo kamanga ferry msiseme tuwaombee kazi ya Mungu haina makosa ama shetani kwa maana tatizo linajulikana pia leo sisi tunaotafuta kazi katika ujenzi wa SGR umekwama kipande cha nne cha mjini katika kimekwamisha na kamanga ferry eti reli ipishe kivuko serikali inajibiwa hivyo asalamm