Akianzisha tu uchokozi wake kwa Iran. Hiyo migumo ndio itakuwa tageti ya kwanza kushambuliwa. Israel ihache kujimwambafai na vitu vya kijingaWizara ya Ulinzi inatangaza kukabidhi wa rasmi kwa mfumo wa kwanza wa kufanya kazi wa laser wa hali ya juu, unaoitwa "Iron Beam," kutoka kwa Mifumo ya Ulinzi ya Juu ya Rafael hadi IDF.
Mfumo huo, ambao umefanikiwa kunasa roketi, makombora ya chokaa na ndege zisizo na rubani wakati wa majaribio ya kina, utamilikiwa na jeshi la anga na kuunganishwa katika safu ya ulinzi wa anga ya Israeli ya tabaka nyingi pamoja na Iron Dome, Mifumo ya Tembe na Mishale ya David.
Akiita makabidhiano hayo "tukio la kihistoria," Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema mfumo huo unaashiria "mara ya kwanza duniani kwamba mfumo wa kukamata laser wenye nguvu nyingi umefikia ukomavu wa kufanya kazi," akiongeza kuwa "hubadilisha sheria za mchezo ( Game-Changer )na kutuma ujumbe wazi kwa maadui wetu wote akiwemo Iran... “usitujaribu."
Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ulinzi Amir Baram anasema utoaji huo "unaashiria mabadiliko kutoka kwa maendeleo hadi uzalishaji wa serial," akiita Iron Beam "mwanzo tu wa mapinduzi ya kiteknolojia" na akibainisha kuwa inatarajiwa kuboresha kwa kiasi kikubwa uwezo wa ulinzi wa Israeli na usawa wa gharama kati ya vitisho na viingilia, ambavyo ni ghali.
Maafisa wakuu wa ulinzi na sekta ya Israeli wanahudhuria hafla ya kukabidhi mfumo wa ulinzi wa anga wa laser ya Iron Beam katika kituo cha Mifumo ya Ulinzi ya Juu ya Rafael, Desemba 28, 2025. (Ofisi ya Waziri wa Ulinzi)
Mkuu wa IAF Meja Jenerali Tomer Bar anaelezea wakati huu kama "unaovutia sana," akisema mfumo huo ni "sehemu nyingine muhimu katika vita vya ulinzi wa anga vya vikosi vyetu, ambavyo vilithibitisha uwezo wao wa kufanya kazi wakati wa vita."
Mkurugenzi Mtendaji wa Rafael Yoav Turgeman anasema kampuni hiyo "inajivunia kutoa... mfumo wa leza wa hali ya juu zaidi duniani wa kuzuia vitisho vya angani," akibainisha kuwa hata wakati wa mapigano makali, Rafael "alithibitisha uwezo wa kufanya kazi kwa kutumia leza zenye nguvu nyingi."
Mfumo huo pia unajulikana kama Or Eitan kwa kumbukumbu ya Kapteni Eitan Oster, afisa wa IDF aliyeuawa katika mapigano kusini mwa Lebanon, ambaye baba yake - mmoja wa waundaji wa mfumo - alikariri baraka za Shehecheyanu, sala ya kuashiria uzoefu mpya na maalum, katika sherehe.
View attachment 3521826View attachment 3521827
Mifumo sio migumo............✅️Akianzisha tu uchokozi wake kwa Iran. Hiyo migumo ndio itakuwa tageti ya kwanza kushambuliwa. Israel ihache kujimwambafai na vitu vya kijinga
Sawa lofaNaona hujui kitu!!!
Ingesemwa kwamba Iran ndio imevumbua mfumo huo leo ungeshinda humu ukiisifia Iran kama taifa mahiri na hata masjid usingeenda kwa maana hiyo.Akianzisha tu uchokozi wake kwa Iran. Hiyo migumo ndio itakuwa tageti ya kwanza kushambuliwa. Israel ihache kujimwambafai na vitu vya kijinga
Mkuu mbona haujanijibu mpaka leo? Nilikuuliza kwanini mifumo ya ulinzi wa anga iliyopelekwa Ukraine imefeli kulinda anga? Je wamewatapeli?Naona hujui kitu!!!
Acha ujinga Uzi huu si wa Ukraine Swali hili kaliulize kwenye Uzi wa Ukraine na Russia utajibiwa!!Mkuu mbona haujanijibu mpaka leo? Nilikuuliza kwanini mifumo ya ulinzi wa anga iliyopelekwa Ukraine imefeli kulinda anga? Je wamewatapeli?
Mkuu mbona haujanijibu mpaka leo? Nilikuuliza kwanini mifumo ya ulinzi wa anga iliyopelekwa Ukraine imefeli kulinda anga? Je wamewatapeli?
Mkizidiwa hoja mnakimbilia matusi!! Uzi unaongelea air defense swali langu linaongelea air defense sasa mnachoshindwa kujibu ni nini?We malaya Nenda kaulize kwenye Uzi husika
Mkuu mbona haujanijibu mpaka leo? Nilikuuliza kwanini mifumo ya ulinzi wa anga iliyopelekwa Ukraine imefeli kulinda anga? Je wamewatapeli?
Wewe ndiyo kilaza Uzi unaongelea Israel wewe unaleta mada za Ukraine wakati kuna Uzi maalum kuhusu Ukraine/Russia huo ni ujinga.Mkizidiwa hoja mnakimbilia matusi!! Uzi unaongelea air defense swali langu linaongelea air defense sasa mnachoshindwa kujibu ni nini?
JF imejaa vilaza sana siku hizi
Casualties kuwa wachache Israel ni sababu ya bunkers, bomu likiwa linakuja zinalia sirens watu wanaenda jificha kwenye mahandaki so mpaka linafika linakuta empty buildings. Wenyewe wanaziita bomb shelters!! We unadhani bomu moja tu la Iran lililopenya likikutana na makazi ya watu lisingeondoka na watu hata 500? Ila ujanja ni bomb shelters sio irone dome aud David's sling.Una ushahidi wowote wa kuthibitidha kuwa mifumo hiyo imefeli? Inawezekana una tatizo la weledi. Hivi unajua Urusi huwa inarusha makombora na drones ngapi kwa siku moja? Unaelewa kama hiyo mifumo isingekuwepo, hayo mamia ya makombora na drones zinazorushwa kila siku zingekuwa zingekuwa zinaleta maafa kiasi gani? Hivi kwa akili yako, yale makombora yaliyokuwa yanarushwa na Iran kwenda Israel, kama Israel isingekuwa na hiyo mifumo ya anga, anafahamu ni kwa kiasi gani madhara kwa Israel yangekuwa? Fikiria Iran ndani ya siku 12 tu, ilipoteza watu zaudi ta 1,000 wakiwemo makamanda wakuu na wataalam wanasayansi, huku Israel ikipoteza raia chini ya 30; fikiria 1,000 Vs 30, ndiyo utajua ubora wa mifumo ya anga ya Israel.
Una ushahidi wowote wa kuthibitidha kuwa mifumo hiyo imefeli?
Nilikuuliza kule hujajibu ndio maana nimekuuliza na huku. Mada zako kibao tu nikiingiaga tu unakimbia maswali yangu wakati ni objective kabisa.Wewe ndiyo kilaza Uzi unaongelea Israel wewe unaleta mada za Ukraine wakati kuna Uzi maalum kuhusu Ukraine/Russia huo ni ujinga.
Hata kama unataka jibu hilo tukutane kwenye Uzi huo Unaongelea Ukraine nikujibu!!
Unataka kuhamisha mada? Tukutane kwenye Uzi wa Ukraine/Russia. Hapo huielewi nini wewe BUMUNDA?Nilikuuliza kule hujajibu ndio maana nimekuuliza na huku. Mada zako kibao tu nikiingiaga tu unakimbia maswali yangu wakati ni objective kabisa.
Uzi unazungumzia air defence za Israel na swali langu linahusu air defense za Israel pia tofauti tu kazipeleka Kyiv, sasa mada inakuaje tofauti wakati ni air defense zile zile za Israel?
Je kwanini zimefeli wakati tumeambiwa wayahudi ni genius na hakuna mwenye uwezo wa air defence kama wao? Hahahhaha