Wizara ya Ulinzi ya Israel yakabidhi rasmi mfumo wa ulinzi wa anga wa Iron Beam kwa IDF

Mkuu mbona haujanijibu mpaka leo? Nilikuuliza kwanini mifumo ya ulinzi wa anga iliyopelekwa Ukraine imefeli kulinda anga? Je wamewatapeli?
Haijafeli mkuu...

Hiyo mifumo imesaidia sana Urusi isitawale anga la Ukraine ndio maana imegeukia kutumia drone nyingi Ili kujaribu kuilemaza.

Hiyo mifumo isingekuwepo hali ungekuwa mbaya zaidi kwa Ukraine.

T14 Armata
 
Mkuu mbona haujanijibu mpaka leo? Nilikuuliza kwanini mifumo ya ulinzi wa anga iliyopelekwa Ukraine imefeli kulinda anga? Je wamewatapeli?
Urusi ndio nchi yenye mifumo mingi zaidi na ya aina nyingi ya anga duniani lakini mbona inapigwa na mashambulizi ya anga na Ukraine ambayo haina hata Air force ya maana.

Hakuna mfumo wa Ulinzi wa anga wenye accuracy na effectiveness 100% ndio maana Moskva cruiser ya Urusi ilizama kwa kupigwa na slow moving missiles za Ukraine. Hata airbases za Urusi zinapigwa na ndege zinaharibiwa. Iran hii hapa ilikuwa na mifumo ya anga kutoka Urusi ila haijawahi zuia fighter jet yoyote ya Israel.

Je, mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi ni ya kitapeli?
 
Bora wewe umempa za uso
 
inapigwa na mashambulizi ya anga na Ukraine ambayo haina hata Air force ya maana.
Sidhani kama Ukraine ndio inayopigana!! Silaha nyingi wanazotumia ni za US, UK n.k so zina uwezo wa kupenetrate anga lao. Ila zingekua za Ukraine kama Ukraine zingefeli
Iran hii hapa ilikuwa na mifumo ya anga kutoka Urusi ila haijawahi zuia fighter jet yoyote ya Israel.
More than 70% ya hizo zililipuliwa kabla ndege ya kwanza hata kulipua target yoyote Tehran. Wanaita decapitation attacks ya kuua mifumo ya ulinzi kabla ya kuvamia.
Hakuna mfumo wa Ulinzi wa anga wenye accuracy na effectiveness 100%
Lakini tumeambiwa humu Israel ndio the best na kwamba wana akili sana kuliko majeshi mengine. Sasa kama mfumo wao umeshindwa hata kuwa 50% effective huoni wamekua overrated sana humu?
Je, mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi ni ya kitapeli?
Kwani kuna sehemu yoyote imesemwa urusi ndio in the best air defence duniani? Si hata hizo drones za shaheed walipewa na Iran? Ila hoja yangu ilikua specific maana kuna nyuzi tatu zimewekwa wiki hii kuongelea jinsia mifumo ya anga ya Israel itailinda Kenya, kuna mwingine wa laser beams n.k ndio counter argument ni kwamba its as good as air defences used in Ukraine that have been useless so far.
 
Bora wewe umempa za uso
Acha kudandia hoja, mwenzio kajibu madini na ndio mjadala unatakiwa kuwa sio unaulizwa swali unaanza matusi na kukimbia.

Ndio ujione ulivyo mweupe, kazi kusifia wanaume wenzio wakati ukiulizwa swali unakimbia uzi!!
 
Bora umekomeshwa mjinga wewe!!
 
Sidhani kama Ukraine ndio inayopigana!! Silaha nyingi wanazotumia ni za US, UK n.k so zina uwezo wa kupenetrate anga lao. Ila zingekua za Ukraine kama Ukraine zingefeli
More than 70% ya hizo zililipuliwa kabla ndege ya kwanza hata kulipua target yoyote Tehran. Wanaita decapitation attacks ya kuua mifumo ya ulinzi kabla ya kuvamia.

Lakini tumeambiwa humu Israel ndio the best na kwamba wana akili sana kuliko majeshi mengine. Sasa kama mfumo wao umeshindwa hata kuwa 50% effective huoni wamekua overrated sana humu?

Kwani kuna sehemu yoyote imesemwa urusi ndio in the best air defence duniani? Si hata hizo drones za shaheed walipewa na Iran? Ila hoja yangu ilikua specific maana kuna nyuzi tatu zimewekwa wiki hii kuongelea jinsia mifumo ya anga ya Israel itailinda Kenya, kuna mwingine wa laser beams n.k ndio counter argument ni kwamba its as good as air defences used in Ukraine that have been useless so
Endelea kubwabwaja tu lakini kaa ukijua IDF is The most moral army in the world!!! Huwezi kuona Jeshi lingine linaitwa hivyo!!!.

Hakuna Jeshi duniani inayoweza/iliweza kupigana pande saba( Seven-Fronts ) na ikashinda .

Kama unaendelea kushupaza fuvu waulize Hamas, Magaidi huko West-Bank,Hezbollah, Houth,waasi wa Syria,Iraq na Bwana wao Iran kwa sasa hivi wako wapi? Na mlikuwa mnawasifia na kuwaramba makalio kila siku!!!
 
Moral? Kwamba lina nidhamu? Upo serious wewe? Hivi unajua Israel ndio jeshi linaongoza kwa kulawiti askari inaowakamata? Wapalestina maelfu waliofungwa Israel wanalawitiwa. Na sio mimi nimesema ni aliyekua mkurugenzi wa sheria jeshi la Israel IDF na hili ni gazeti linaheshimika pia la New York Times.

Je kibiblia unaruhusiwa kulawiti? Je ni sawa kumuingilia mwanaume mwenzako? Taifa teule linahusudu ushoga hadi kuhamishia kwa wafungwa wake?
 
Embu taja hizo seven fronts!! Na ziwe nchi sio vikundi vya watu elfu 5 unajisifia!!

Hitler alipigana na nchi ngapi na akazikalisha?
Unajua USSR alipigana vita ngapi kipindi cha cold War kuanzia Angola mpaka Afghanistan?

Israel mwenyewe amewahi pigana na taifa gani stable per se zaidi ya Iran hivi majuzi? na wote mliona ilivyokua costly hadi akaomba cease fire, sasa imagine ingekuwa vita ya ardhini kama alivyoenda Gaza!! Angemaliza mwaka?

Acheni kuwapa sifa zisizo zake, ni watu average tu ila USA ndio imewalinda na hata Iran pale ni US ndio ililipua nuclear sites ila sifa eti kwa Israel!! Empty brains
 
Hamas mbona wapo na bado wanaongoza Gaza mpaka kesho. Na jana tu wametoa press statement.

Houthi si wanayo mpaka serikali? Then Iran ndio hiyo maisha yanaendelea kama kawa haijatetereka hata dakika. Jana tu wameanza kuunda nuclear warheads upyaaa ikabidi hadi Trump atoe vitisho vya kuvamia tena kuzuia program hiyo.
Trump warns Iran not to rebuild nuclear program, says it will be 'horrible' for Hamas if it fails to disarm

Inaonekana hauna taarifa sahihi kabisa, jitahidi kusoma magazeti na kusikiliza redio kama BBC/DW!! Sio unajaza akili zako singeli na habari za udaku!!
 
Moral? Kwamba lina nidhamu? Upo serious wewe? Hivi unajua Israel ndio jeshi linaongoza kwa kulawiti askari inaowakamata? Wapalestina maelfu waliofungwa Israel wanalawitiwa. Na sio mimi nimesema ni aliyekua mkurugenzi wa sheria jeshi la Israel IDF na hili ni gazeti linaheshimika pia la New York Times.
https://www.nytimes.com/2025/11/04/world/middleeast/israel-soldiers-detainee-tomer-yerushalmi.html
Hakuna Jeshi Moral duniani wapalestina wametendewa vyema sana na IDF na habari za wafungwa kupigwa miti hizo ni-

Accusations​

View: https://x.com/jewishlegend18/status/1983540759057031567?s=61
Je kibiblia unaruhusiwa kulawiti? Je ni sawa kumuingilia mwanaume mwenzako? Taifa teule linahusudu ushoga hadi kuhamishia kwa wafungwa wake?
Waarabu koko mna matatizo makubwa daima huwa mnawatuhumu IDF ni Jeshi la Mashoga imekuwaje tena unakuja unalalamika wafungwa wenu Wanapigwa miti huko gerezani? IDF wamepata wapi nguvu ya kuwafirwa?

Kuna uwezekano baada ya kushindwa on the ground mnaanza kutafuta visababu ili tu mpate huruma kwa jumuia za kimataifa!! Hata hivyo poleni sana kwa kipondo
 
Hamas mbona wapo na bado wanaongoza Gaza mpaka kesho. Na jana tu wametoa press statement.
Ni kweli kabisa wapo wanapumulia mashine na maelfu walishakimbilia nchi za ulaya na wengine juzijuzi wameenda Kubwagwa South Afrika. Kutoa statement ya kuuwawa watu wao hiyo si kazi!!
Houthi si wanayo mpaka serikali?
Je una habari zaidi ya mawaziri 16 na viongozi wa magaidi hao akiwemo aliyekuwa akibwabwaja sana( msemaji wa Houth Saree)sasa hivi walishakabidhiwa wale mabikira 72 walioahidiwa na mtume wao?
 
Attachments

  • IMG_4098.jpeg
    IMG_4098.jpeg
    114.2 KB · Views: 14
  • IMG_4068.jpeg
    IMG_4068.jpeg
    262.2 KB · Views: 13
  • IMG_4064.jpeg
    IMG_4064.jpeg
    99.3 KB · Views: 16
Naona hunielewi hata ninapotaja seven fronts nimeziandika hapo chini nenda kazisome!
Embu taja hizo seven fronts!! Na ziwe nchi sio vikundi vya watu elfu 5 unajisifia!!

Hitler alipigana na nchi ngapi na akazikalisha?
Unajua USSR alipigana vita ngapi kipindi cha cold War kuanzia Angola mpaka Afghanistan?

Israel mwenyewe amewahi pigana na taifa gani stable per se zaidi ya Iran hivi majuzi? na wote mliona ilivyokua costly hadi akaomba cease fire, sasa imagine ingekuwa vita ya ardhini kama alivyoenda Gaza!! Angemaliza mwaka?

Acheni kuwapa sifa zisizo zake, ni watu average tu ila USA ndio imewalinda na hata Iran pale ni US ndio ililipua nuclear sites ila sifa eti kwa Israel!! Empty brains
Hapa hatuongelei Hitler hata hivyo hakushinda vita hivyo alivyovianzisha .

Israel imeweza kushinda vita isivyovianzisha hiyo ndiyo tofauti ya Israel na Hitler wako
 
Hakuna Jeshi Moral duniani wapalestina wametendewa vyema sana na IDF na habari za wafungwa kupigwa miti hizo ni-

Accusations​

Accusations wakati CCTV footage zipo na huyo Mama ambaye ni Mkurgenzi wa sheria ndio alizitoa kwa public maana naye alipinga vitendo hivyo. Na alijiuzuru cheo chake baada ya kuvujisha video hiyo
Lakini pia nimekuwekea taarifa rasmi ya New York Times ambalo ni media CREDIBLE huko USA inayodocument ulawiti wanaofanyiwa wafungwa wa kipalestina so sio accusations actually wamefikishwa hadi mahakamani tayari.

Narudia tena jitahidi uwe unasoma taarifa za habari acha kushinda kwenye page za udaku tik tok!!
 
Waarabu koko mna matatizo makubwa daima huwa mnawatuhumu IDF ni Jeshi la Mashoga imekuwaje tena unakuja unalalamika wafungwa wenu Wanapigwa miti huko gerezani? IDF wamepata wapi nguvu ya kuwafirwa?
Kwani mashoga unaelewa maana yake? Kwani hao mashoga waliopo Israel wanaingiliwa na nani? Si na wanaume wenzao? Meaning ukiona sehemu kuna mashoga basi jua kuna wanaowaingilia so hao hao wanaweza pia kutumika kwa wafungwa wa Palestina!!

Imagine taifa teule linalawiti wanaume!! Hivi Mungu anapendezwa na hilo? Kwenye biblia ni lini wayahudi wamewahi wageuza wafungwa wa kijeshi? Dhambi kama hizi mnazishabikia tu hata aibu hamna ila zikifanyika Tanzania mnasema ni laana kwa Mungu!! Acheni unafiki
 
Accusations wakati CCTV footage zipo na huyo Mama ambaye ni Mkurgenzi wa sheria ndio alizitoa kwa public maana naye alipinga vitendo hivyo. Na alijiuzuru cheo chake baada ya kuvujisha video hiyo
Lakini pia nimekuwekea taarifa rasmi ya New York Times ambalo ni media CREDIBLE huko USA inayodocument ulawiti wanaofanyiwa wafungwa wa kipalestina so sio accusations actually wamefikishwa hadi mahakamani tayari.

Narudia tena jitahidi uwe unasoma taarifa za habari acha kushinda kwenye page za udaku tik tok!!
Soma hiyo habari ni TUHUMA tu Acha kukomaza fuvu Link umeweka mwenyewe harafu mwenyewe unaipinga tena!!

Ndiyo maana unaitwa BUMUNDA!!
 
kabisa wapo wanapumulia mashine na maelfu walishakimbilia nchi za ulaya na wengine juzijuzi wameenda Kubwagwa South Afrika. Kutoa statement ya kuuwawa watu wao hiyo si kazi
Wanaongoza serikali ya kule na wanakusanya kodi pamoja na misaada ya kigeni. Mind you wameendelea kufanya recruitment maana watoto wa waliouwawa wote wanajiunga Hamas for revenge!! So Hamas haitoikufa leo wala kesho zaidi watabadili jina tu. Violence haiweza maliza violence ona Syria na Afghanistan ndio utaelewa.

una habari zaidi ya mawaziri 16 na viongozi wa magaidi hao akiwemo aliyekuwa akibwabwaja sana( msemaji wa Houth Saree)sasa hivi walishakabidhiwa wale mabikira 72 walioahidiwa na mtume wao?
Kwani hawajateuliwa mawaziri wengine? Serikali haipo tena? Vipi wameachia nchi? Mna akili za kitoto sana, wao wanashikilia nchi sasa hata ukiua baraza lote la mawaziri si wanateua wengine tu maisha yanaendelea!! mmefeli kuwatoa mnatafuta pa kujitia moyo!! Houthis are here to stay mpaka siku mheshimu sovereignty ya mataifa mengine
 
Kwani mashoga unaelewa maana yake? Kwani hao mashoga waliopo Israel wanaingiliwa na nani? Si na wanaume wenzao? Meaning ukiona sehemu kuna mashoga basi jua kuna wanaowaingilia so hao hao wanaweza pia kutumika kwa wafungwa wa Palestina!!

Imagine taifa teule linalawiti wanaume!! Hivi Mungu anapendezwa na hilo? Kwenye biblia ni lini wayahudi wamewahi wageuza wafungwa wa kijeshi? Dhambi kama hizi mnazishabikia tu hata aibu hamna ila zikifanyika Tanzania mnasema ni laana kwa Mungu!! Acheni unafiki
Kwako wewe kosa ni la wayahudi lakini kosa hilohilo akifanya Mwarabu unasema Alhamdulilah hawa hapa sasa waarabu wako walifanya yaleyale na hukupiga kelele. Walipopigwa miti wao umekuja hapa kubwabwaja!!

View: https://x.com/OrenMarmorstein/status/2005311867661509076?t=-h9Z3U-ntFi7jNypheoINA&s=19
 
Soma hiyo habari ni TUHUMA tu Acha kukomaza fuvu Link umeweka mwenyewe harafu mwenyewe unaipinga tena!!

Ndiyo maana unaitwa BUMUNDA!!
Tuhuma ndio sababu hukumu haijatoka ila video evidence ipo mbona na ndio hiyo ilimfanya huyo mama ajiuzulu. Na waliohusika wapo mahakamani. Angalia video huko acha maneno mengi uone taifa teule linavyosambaza ushoga badala ya injili

Kwako wewe kosa ni la wayahudi lakini kosa hilohilo akifanya Mwarabu unasema Alhamdulilah hawa hapa sasa waarabu wako walifanya yaleyale na hukupiga kelele. Walipopigwa miti wao umekuja hapa kubwabwaja!!

View: https://x.com/OrenMarmorstein/status/2005311867661509076?t=-h9Z3U-ntFi7jNypheoINA&s=19

Oooh kumbe Hamas wakilawiti basi Taifa teule ni halali kulawiti? Sikujua kwamba Taifa teule ni halali kufanya dhambi zile zile za wapagani? Sasa kuna faida gani ya kuwa TAIFA TEULE kama matendo yako ni yale yale?

Wewe binafsi umesema hakuna jeshi MORAL kama IDF. Alafu likilawiti unasema mbona Hamas wamebaka? Sasa kwani Hamas ni moral au wamewahi sema wana nidhamu?

Man you're out of your senses.
 
Back
Top Bottom