Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #41
Maneno ya mkosqji maneno ya mtu aliyeshindwa na ambaye hana matumaini.Wanaongoza serikali ya kule na wanakusanya kodi pamoja na misaada ya kigeni. Mind you wameendelea kufanya recruitment maana watoto wa waliouwawa wote wanajiunga Hamas for revenge!! So Hamas haitoikufa leo wala kesho zaidi watabadili jina tu. Violence haiweza maliza violence ona Syria na Afghanistan ndio utaelewa.
Kwani hawajateuliwa mawaziri wengine? Serikali haipo tena? Vipi wameachia nchi? Mna akili za kitoto sana, wao wanashikilia nchi sasa hata ukiua baraza lote la mawaziri si wanateua wengine tu maisha yanaendelea!! mmefeli kuwatoa mnatafuta pa kujitia moyo!! Houthis are here to stay mpaka siku mheshimu sovereignty ya mataifa mengine
Niambie Baada ya Hassa Nasrallah walio chaguliwa kushika cheo hicho wangapi wameangamizwa? Njoo kwa Ismail Hanniyeh wangapi wamefyekelewa mbali? Njoo tena Fuad Shukr niambie nako wangapi wamefyekelewa mbali?