Maneno ya mkosqji maneno ya mtu aliyeshindwa na ambaye hana matumaini.Wanaongoza serikali ya kule na wanakusanya kodi pamoja na misaada ya kigeni. Mind you wameendelea kufanya recruitment maana watoto wa waliouwawa wote wanajiunga Hamas for revenge!! So Hamas haitoikufa leo wala kesho zaidi watabadili jina tu. Violence haiweza maliza violence ona Syria na Afghanistan ndio utaelewa.
Kwani hawajateuliwa mawaziri wengine? Serikali haipo tena? Vipi wameachia nchi? Mna akili za kitoto sana, wao wanashikilia nchi sasa hata ukiua baraza lote la mawaziri si wanateua wengine tu maisha yanaendelea!! mmefeli kuwatoa mnatafuta pa kujitia moyo!! Houthis are here to stay mpaka siku mheshimu sovereignty ya mataifa mengine
Endelea kubwabwaja tu kwanza waarabu ndiyo kazi yao pendwa kupigwa mitiOooh kumbe Hamas wakilawiti basi Taifa teule ni halali kulawiti? Sikujua kwamba Taifa teule ni halali kufanya dhambi zile zile za wapagani? Sasa kuna faida gani ya kuwa TAIFA TEULE kama matendo yako ni yale yale?
Wewe binafsi umesema hakuna jeshi MORAL kama IDF. Alafu likilawiti unasema mbona Hamas wamebaka? Sasa kwani Hamas ni moral au wamewahi sema wana nidhamu?
Man you're out of your senses.
Wewe umeuliza kama taasisi ipo au haipo jibu ni kwamba zipo na zinaendelea. Kwa akili yako ukimuua mfano Trump basi Republican ndio inakufa? Yaani Hezbollah ina wanajeshi 100,000 ife kwa sababu katibu mkuu wa chama amefariki? Unachekesha kweli.Maneno ya mkosqji maneno ya mtu aliyeshindwa na ambaye hana matumaini.
Niambie Baada ya Hassa Nasrallah walio chaguliwa kushika cheo hicho wangapi wameangamizwa? Njoo kwa Ismail Hanniyeh wangapi wamefyekelewa mbali? Njoo tena Fuad Shukr niambie nako wangapi wamefyekelewa mbali?
Jibu swali je ni halali taifa teule kulawiti wanaume wenzao? Je Mungu anapendezwa na huo ushoga?Endelea kubwabwaja tu kwanza waarabu ndiyo kazi yao pendwa kupigwa miti
Vifo vya magaidi 50K hizo Takwimy umezipata wapi? Toka Oct 07,2023 unajua Nina ngapi wamepelekwa uhai sho I kwenda kuishi Mazima?Gaza ina watu million 2 na zaidi, vifo vya watu 50k vinapunguza nini kwenye watu million 2? Maana yangu ni kwamba movements hazifi kwa viongozi kufa bali KUSUDI. Kama Palestina wanaamini Israel inawakandamiza basi hata Hamas wote wafe niamini mimi kesho yake asubuhi zaidi ya watu laki 1 watabeba silaha wajiunge Hamas. Same applies to Houthi, Hezbollah, n.k they are there to stay
Acha ushoga wako Uzi huu hauhusiani na Ushoga. Inaonekana una Interest kwenye Ushoga kwa hiyo Fungua Uzi ili uelezee vizuri huo Ushoga wako.!!!Jibu swali je ni halali taifa teule kulawiti wanaume wenzao? Je Mungu anapendezwa na huo ushoga?
Unatumia vigezo gani kusema mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel ilishindwa kufika effectiveness hata ya 50%Lakini tumeambiwa humu Israel ndio the best na kwamba wana akili sana kuliko majeshi mengine. Sasa kama mfumo wao umeshindwa hata kuwa 50% effective huoni wamekua overrated sana humu?