Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED

Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo.
Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi anafariki ni Leila Sheikh.

Nikawaomba pamoja na mazungumzo yetu haya wafanye hima sana wampate Leila Sheikh wasome historia ya Bi. Titi ambayo yeye kaipokea kutoka kinywa chake mwenyewe kipenzi chetu Bi. Titi Mohamed.

Picha ya nne Bi. Titi akiwa Bukoba kuhamasisha wananchi Kanda ya Ziwa wakatiwa kupigania uhuru wa Tanganyika.

1670783552407.png
1670783588064.png
 

Attachments

  • 1670783506809.png
    1670783506809.png
    195 KB · Views: 13
Back
Top Bottom