Kilunguru
JF-Expert Member
- Feb 2, 2023
- 416
- 544
Husika na maada tajwa hapo juu;
Tunaiomba wizara ya Utumishi wa umma na TAMISEMI watoe muongozo mpya wa sifa za viongozi utakaozingatia Elimu kubwa (Masters/PhD) ili kuondoa ukiritimba huko makazini,
Mfano; unaweza kuona sehem Ina watu wenye masters/PhD lakini viongozi wa sehemu husika kuanzia wa juu mpaka wa chini Wana degree, Hawa wenye masters/PhD wanaachwa tu na Elimu zao🤣🤣
Tunaziomba wizara husika wasisite ku phase out hizi Elimu ndogo za viongozi pahala pa kazi, pale inapotokea wenye Elimu kubwa wapo wakutosha, ingawa ni changamoto kwa wahusika lakini wajue kuwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu.
Uzuri wake mifumo inaonyesha sifa za kila mtumishi na Elimu zao.
Assalamu alaikum wandugu