Wizara ya UTUMISHI/TAMISEMI; tunaomba mtoe waraka mpya kuhusu sifa za viongozi pahala pa kazi ili ziendane na mabadiliko ya Dunia ya sasa

Kilunguru

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
416
Reaction score
544
Husika na maada tajwa hapo juu;

Tunaiomba wizara ya Utumishi wa umma na TAMISEMI watoe muongozo mpya wa sifa za viongozi utakaozingatia Elimu kubwa (Masters/PhD) ili kuondoa ukiritimba huko makazini,

Mfano; unaweza kuona sehem Ina watu wenye masters/PhD lakini viongozi wa sehemu husika kuanzia wa juu mpaka wa chini Wana degree, Hawa wenye masters/PhD wanaachwa tu na Elimu zao🤣🤣

Tunaziomba wizara husika wasisite ku phase out hizi Elimu ndogo za viongozi pahala pa kazi, pale inapotokea wenye Elimu kubwa wapo wakutosha, ingawa ni changamoto kwa wahusika lakini wajue kuwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu.

Uzuri wake mifumo inaonyesha sifa za kila mtumishi na Elimu zao.

Assalamu alaikum wandugu
 
Kuna wenye advanced (graduate) degrees ambao hawafai kuongoza hata kitongoji na kuna wenye undergraduate degrees ambao wana uwezo mkubwa wa kuongoza. Sio sera nzuri kusema nafasi za uongozi automatically ziende kwa wenye advanced degrees, kama wapo. As a matter of best practice, vigezo vijumuishe elimu na leadership prowess ya mtumishi.
 
Uongozi ufuate seniority, kama jeshini huwezi kumkuta nyota mbili ni mkuu WA kituo ukamwacha nyota 3.

Tamisemi WA miaka 7 kazini ni kibosile WA miaka 17 kazini na Wana elimu sawa.
 
Huko UTUMISHI ndiko kulikooza kunakohitaji kufumuliwa.
 
Uongozi ufuate seniority, kama jeshini huwezi kumkuta nyota mbili ni mkuu WA kituo ukamwacha nyota 3.

Tamisemi WA miaka 7 kazini ni kibosile WA miaka 17 kazini na Wana elimu sawa.
Kabisa Yani hii ipo sana
 
Masters za chupi zipo nyingi sana kwa sasa. Wana uwezo mdogo compare na sisi wenye certificate za 1980. 😀😀
 
Uongozi ufuate seniority, kama jeshini huwezi kumkuta nyota mbili ni mkuu WA kituo ukamwacha nyota 3.

Tamisemi WA miaka 7 kazini ni kibosile WA miaka 17 kazini na Wana elimu sawa.
Nakuunga mkono mkuu, ma senior wengi wanadhalilika sana kwenye utumishi wa umma. Ndio maana utumishi wa umma unadharaulika sana siku hizi. Nilienda shule x kwenye kikao cha Wazazi nilistaajabu kukuta mkuu wa shule hana hata miaka saba kazini, huku anawaongoza waengi wanamiaka zaidi ya 15.
 
Uongozi ufuate seniority, kama jeshini huwezi kumkuta nyota mbili ni mkuu WA kituo ukamwacha nyota 3.

Tamisemi WA miaka 7 kazini ni kibosile WA miaka 17 kazini na Wana elimu sawa.
Hili ndio linapelekea huko tamisenga kusiwe na heshima bali anakujua nani.Tamisemi kuna vituko balaaa.
 
Back
Top Bottom