Mjuba palamagamba kabudi kidogo anajua dhana ya kung'arisha vipaji vya raia ving'ae kimataifa, the rest wajuba wao ni blablaa za siasa tu hawana access za vipaji vya wananchi. Waangalie wazungu, wachina, wahindi wanavyokazana kukuza vipaji vya raia wao ving'ae kimataifa, si michezo tu ni mpaka wachoraji, wachongaji, wafinyanzi wanakuzwa level za kimataifa, ni uchumi mtupu