Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa mwenyewe baada ya kufikisha malalamiko. Lakini kimekuwa ni kilio cha wengi kuwa wameshapeleka malalamiko lakini bodi hairudishi fedha zao za jasho. Hivyo ni vyema bodi wajitafakari au mamlaka za dola ziingie kazini.
Shukuru deni lako umemalizaHabari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa mwenyewe baada ya kufikisha malalamiko. Lakini kimekuwa ni kilio cha wengi kuwa wameshapeleka malalamiko lakini bodi hairudishi fedha zao za jasho. Hivyo ni vyema bodi wajitafakari au mamlaka za dola ziingie kazini.
Warudishe pesa za watu.Ka
Shukuru deni lako umemaliza
Penalty watu wamepigwa, na deni likaisha wakaendelea kukatwa. Huwa kuna namna wanatakiwa warejeshewe madeni yao sababu ya overdeduction.Point 6 sio riba kweli au penalty
Walisema ulioe mkopo within 24 month ka ulipitiliza labda ndo hio penati
But its my opinion
Sawa mkuu wanguPenalty watu wamepigwa, na deni likaisha wakaendelea kukatwa. Huwa kuna namna wanatakiwa warejeshewe madeni yao sababu ya overdeduction.