Wizi Bodi ya Mikopo HESLB

Wizi Bodi ya Mikopo HESLB

fluid

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
363
Reaction score
236
Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu bodi kutokufanya marejesho ya baadhi ya wanufaika ambao walikatwa fedha za ziada baada ya kumaliza mkopo, yani kama mtu alikuwa anadaiwa milioni kumi, unakuta bodi wamemkata ziada labda 10.6m. Kikawaida hiyo laki 6 inatakiwa irejeshwe kwa mwenyewe baada ya kufikisha malalamiko. Lakini kimekuwa ni kilio cha wengi kuwa wameshapeleka malalamiko lakini bodi hairudishi fedha zao za jasho. Hivyo ni vyema bodi wajitafakari au mamlaka za dola ziingie kazini.
 
Ka

Shukuru deni lako umemaliza
 
Sijui ni kwa nini! Ila kichwa changu kinaniambia ndani ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, kuna kikundi cha majambazi.

Maana haiwezekani mtu amemaliza deni miaka 5 iliyopita, halafu leo unamletea deni jipya, na kuanza kumkata tena kwa kisingizio eti hakumaliza deni!!

Kama na Benki nazo zingekuwa zinafanya hivi kwa wateja wao, sidhani kama kuna mtu angejaribu kukopa. Huu ni wizi wa wazi kabisa.
 
Point 6 sio riba kweli au penalty

Walisema ulioe mkopo within 24 month ka ulipitiliza labda ndo hio penati

But its my opinion
 
Penalty watu wamepigwa, na deni likaisha wakaendelea kukatwa. Huwa kuna namna wanatakiwa warejeshewe madeni yao sababu ya overdeduction.
 
Sawa mkuu wangu

Pole sana
 
Hatujawahi kusikilizwa,mm HESLB walinikata Kimakosa na wakakiri,sijawahi kurejeshewa licha kuapply refund online.Aliyewah kupata refund atupe mrejesho
 
Back
Top Bottom