WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali.

Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa 300 mpaka 500 na risit hawapewi na Wala wao hawadai.

TATIZO Ili nimelikuta kateshi, stendi nzuri raia wanatozwa 500 lakini zinaingia mifukoni mwa watu walio wekwa na wakurugenzi wakusanye fedha hizo.

Leo nipo stend ya Nyegezi nakutana na upuuzi uo UO.

Nashauri hizi stendi serikali itoe zabuni kwa private sekta watasimamia vizuri vyanzo hivi kinyume chake wakurugenzi na wakuu WA mikoa wanatakiwa kuwajibishwa kwa kushindwa KUSIMAMIA mapatao haya yanyoingia mifukoni mwao.
Mtawala hasiyeweza Samia mapatao ya taifa na kuyageuza mapato yake UO ni WIZI kama wezi wengine
 
Serikali kufanya yenyewe biashara ina faida kwenye makaratasi tu ila kiuhalisia hakuna inachopata ukilinganisha na kama ingebinafsisha kwa sekta binafsi. Ndo maana nashangaa sana wanaosema bandari imeuzwa wakati kuendesha stendi tu imetushinda.
 
Back
Top Bottom