Wizi huu wa Benki sio mzuri kwa Taifa

Wewe unakosea, kuna watu wa bank supervision humu, sema waruke na hiyo bank faster, ndiyo maana rais kahamishia TIC ofisini kwake ili atumbue wajinga ka hiyo bank
 
Wewe ungesema tu, hatutaki wawekezaji waonewe, Tanzania ni yetu sote
 
1. Alitaka atumiwe kutoka wapi? Kwa nini alienda bank? Kwani ukitaka kutumiwa fedha unaenda benki kabla hazijatumwa?
2. Hizo walizokata ulipotumiwa walisema ni za nini?
 
Ndiyo maana mimi pesa inayoingia payoneer naitoa moja kwenye atm kuliko kuitransfer kwenye local bank halafu tuanze sumbuana. Hata kama natoa kiasi gani nakubari kuingia gharama kuliko kuihamishai bank wapite nayo
 
Hapa ndio namkumbuka marehemu Dr Shika.
Inawezekana ni kweli ukawa na pesa benki ila ukafa njaa.
Yule alipigwa na wanaija na hata wakina shigongo waliokuwa wanampiga picha walikuwa wanajua hilo ila hawakujali kwao ilikuwa habari ya kuuzia gazeti. Tangu lini transfer fee ikatumwa kwa western union? Ni akili ya kawaida tu. Bank wire transfer fee hukatwa kwenye kiasi kinachotumwa.
 
Wewe unakosea, kuna watu wa bank supervision humu, sema waruke na hiyo bank faster, ndiyo maana rais kahamishia TIC ofisini kwake ili atumbue wajinga ka hiyo bank
Uko sawa kabisa. Ataje hiyo benki au aende BoT NT 6th floor kama alivyoshauriwa hapo juu, hizo ni ofisi za bank supervision. Kama ana ushahidi wa kutosha kuwa ni hela halali hiyo benki yenyewe itamtafuta muda huo huo hata kabla ya kuondoka kwy hizo ofisi
 
Na vp Kama nimefanya biashara zangu nje ya nchi, nimelipa kodi huko ila nataka kuingiza pesa hapa nchini kuwekeza. Nadaiwa kodi kwa fedha hizo kabla ya biashara?!
 
Hakuna huu ujinga, watu wanafanya baishara kama kawaida et usd 100,000. Nayo hela hiyo.

Naona umeamua kuchangamsha genge.
Unasemaje USD 100000 siyo hela kumbuka ni bilioni moja na ushee hiyo Kama unamiaka 40na ukaipata hiyo hela nakushauri usifanye biashara yoyote, we Chukua laki moja daily kula utakula hadi kifo chako, Kwa miaka 30utatumia Milioni 300 kumbuka una Milioni 1000 na

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…