Vitu kama hivi vinashangaza sana sana.Pia vinaumiza watanzania mno.Kuna mambo yanafanyika unabaki na maswali ambayo hujui umuulize nani
Mfano Mimi watoto wangu Wana bima ya matibabu ila walipojiunga chuo walilazimishwa kulipia NHIF la sivyo unaambiwa hujakamilisha usajili
Chuo gani?Kuna mambo yanafanyika unabaki na maswali ambayo hujui umuulize nani
Mfano Mimi watoto wangu Wana bima ya matibabu ila walipojiunga chuo walilazimishwa kulipia NHIF la sivyo unaambiwa hujakamilisha usajili
Suluhisho ni kujiua tu commit suicide kuwakomoa na kuwaachia linchi lao watawale milele.Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali.
Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo.
Aloo hili li-nchi hovyo hovyoooooo
UDSMChuo gani?
Watoto wako wamekuchekecha(wamekuibia) hapo.UDSM
Control number ya chuo(NHIF )unalipa bank ...unasema nimechekechwaWatoto wako wamekuchekecha(wamekuibia) hapo.
Watoto wako wamekuchekecha(wamekuibia) hapo.