Nilichoana hapa ni kwamba jamaa hakupoteza kadi ila huenda mpenzi wake au mke wake kamuzunguka,haiingii akilini kabisa.
Ni hisia zako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichoana hapa ni kwamba jamaa hakupoteza kadi ila huenda mpenzi wake au mke wake kamuzunguka,haiingii akilini kabisa.
Sehemu kubwa ya wizi kwenye mabenki huusisha wafanyakazi wa benki wenyewe.. Wale IT specialists wao na wahasibuKUNA ISSUE NILISIKIA IMETOKEA GAME STORE MLIMANI CITY... JUZI KATI HAPA KUNA WATU WALIENDA KUSHOP VITU KAMA VYA 3 MILLION.. THEN WAKAENDA KWA CASHIER WAKASEMA WANALIPIA KWA CARD AND ILIKUA YA CRDB... LAKIN CASHIER AKASHTUKA CAS HAO JAMAA WALIKUA KAMA WANA WASIWASI MKUBWA... NA BAHATI NZURI NI KWAMBA BILA KITAMBULISHO CASHIER HAWEZ KUFANYA TRANSACTIONS ZA CARD AMBAZO KIWANGO CHA HELA NI MORE THAN ONE MILLION... AKAWAOMBA KITAMBULISHO WAKASEMA HAWANA... AKASEMA SIWEZI KUFANYA HII TRANSACTION NGJA NIMWITE SUPERVISOR.... AKAONDOKA KWENDA KWA SUPERVISOR WAKE.... ALIPOONDOKA TU JAMAA WAKAKIMBIA FASTA WAKATOKOMOEA KUSIKIJULIKANA JAPO CASHIER ALIKUA KASHAGUNDUA KUWA CARD NI FEKI SO WAKAWAPIGIA MAAFISA WA BANK WAKAJA WAKATHIBITISHA CARD NI FAKE.... WAKATI HAYO YAKIENDELEA WANASEMA GHAFLA AKAJA JAMAA MMOJA AKAJITAMBULISHA THEN AKASEMA ANAHITAJ KWENDA CUSTOMER SERVICE... NA AMEVAA KAMA MOJA YA WAFANYAKAZ WA BANK... AKAWAKUTA WOTE JAPO HAKUJUA KAMA NA OFFICIALS WA BANK WAPO PIA... KWA DHARAU AKASEMA HIYO NI KADI YA BRO ANGU NA TULIWATUMA VIJANA WAJE WATUFANYIE SHOPPING... AKATOA KITAMBULISHO AKASEMA NI CHA KAKA AKE.... WALICHOFANYA WALE MANAGERS WA GAME WAKAMKAMATA BILA HATA KUONGEA NAE ZAIDI CAS ISS TRUE CARD NI FAKE NA KITAMBULISHO PIA NI FAKE... NA NI KWELI WALIKUA WANATAKA KUMUIBIA MTU MWINGNE KWENYE A/C THROUGH SHOPPING.... JAMAA YUKO MAHABUSU HADI NOW..... NA KESI BADO HAIJAANZA KUUNGURUMA.....HII IMEKAAJE WADAU CAS WANASEMA NI MALA NYINGI TU WQTU WANAENDA NA CARD FAKE PALE GAME ILA CASHIRS WANAWASHTUKIA NA KILA MALA HUWA WANAKIMBIA NA KUACHA CARD ZAO FALE PALE.... HILI LA CARD FAKE LIMEEKAAJE WADAU.........
Samahani kwa kukuuambia hichi..ulipaswa toa taarifa kadi yako iwe deactivated dakika uliojua imepotea..samahani sana ila ilaumu nafsi yakoMim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu.
Siku ya kwanza alitoa one M.
Siku ya pili 1.7m na siku ya tatu 1m.
Ikumbukwe kwamba maximum transaction kwa siku ni one Million kwenye atm Lakin huyo mwizi alitoa 1.7 kwa siku.
Vile vile mim nimejiunga na sim banking Lakin tangu niibiwe sikuweza kupata sms toka sim banking kwamba card yangu inatumika mahali.
Kwa maana hiyo mwizi aliblock mawasiliano yangu ya sim banking ili nisijue kinachoendelea.
Baada ya kugundua nimeibiwa nilienda kwa meneja wa crdb kumueleza kilichotokea na majibu yake ni kwamba hawausiki na wizi wa kwenye atm Hilo ni la mteja mwenyewe. Na bank haifidii chochote.
Ndugu wanasheria mliobobea naombeni msaada hapo wa kisheria kama naweza kuishtaki bank au la.
Okonko si kweli, huku nilipo nipo mwenyewe na familia iko mkoa mwingine.Nilichoana hapa ni kwamba jamaa hakupoteza kadi ila huenda mpenzi wake au mke wake kamuzunguka,haiingii akilini kabisa.
Nlifanya hivyo but tayari alikuwa ashachukua hela.. Elewa kwamba nligungua siku ya tatu tangu Ilipopotea nikaenda toa taarifa bank wakaiblock kisha nikaanza mchakato wa policeSamahani kwa kukuuambia hichi..ulipaswa toa taarifa kadi yako iwe deactivated dakika uliojua imepotea..samahani sana ila ilaumu nafsi yako
Nlifanya hivyo but tayari alikuwa ashachukua hela.. Elewa kwamba nligungua siku ya tatu tangu Ilipopotea nikaenda toa taarifa bank wakaiblock kisha nikaanza mchakato wa police
Kumbe thread ya zamani sanaMim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu.
Siku ya kwanza alitoa one M.
Siku ya pili 1.7m na siku ya tatu 1m.
Ikumbukwe kwamba maximum transaction kwa siku ni one Million kwenye atm Lakin huyo mwizi alitoa 1.7 kwa siku.
Vile vile mim nimejiunga na sim banking Lakin tangu niibiwe sikuweza kupata sms toka sim banking kwamba card yangu inatumika mahali.
Kwa maana hiyo mwizi aliblock mawasiliano yangu ya sim banking ili nisijue kinachoendelea.
Baada ya kugundua nimeibiwa nilienda kwa meneja wa crdb kumueleza kilichotokea na majibu yake ni kwamba hawausiki na wizi wa kwenye atm Hilo ni la mteja mwenyewe. Na bank haifidii chochote.
Ndugu wanasheria mliobobea naombeni msaada hapo wa kisheria kama naweza kuishtaki bank au la.
Zilipendwa hii.KUNA ISSUE NILISIKIA IMETOKEA GAME STORE MLIMANI CITY... JUZI KATI HAPA KUNA WATU WALIENDA KUSHOP VITU KAMA VYA 3 MILLION.. THEN WAKAENDA KWA CASHIER WAKASEMA WANALIPIA KWA CARD AND ILIKUA YA CRDB... LAKIN CASHIER AKASHTUKA CAS HAO JAMAA WALIKUA KAMA WANA WASIWASI MKUBWA... NA BAHATI NZURI NI KWAMBA BILA KITAMBULISHO CASHIER HAWEZ KUFANYA TRANSACTIONS ZA CARD AMBAZO KIWANGO CHA HELA NI MORE THAN ONE MILLION... AKAWAOMBA KITAMBULISHO WAKASEMA HAWANA... AKASEMA SIWEZI KUFANYA HII TRANSACTION NGJA NIMWITE SUPERVISOR.... AKAONDOKA KWENDA KWA SUPERVISOR WAKE.... ALIPOONDOKA TU JAMAA WAKAKIMBIA FASTA WAKATOKOMOEA KUSIKIJULIKANA JAPO CASHIER ALIKUA KASHAGUNDUA KUWA CARD NI FEKI SO WAKAWAPIGIA MAAFISA WA BANK WAKAJA WAKATHIBITISHA CARD NI FAKE.... WAKATI HAYO YAKIENDELEA WANASEMA GHAFLA AKAJA JAMAA MMOJA AKAJITAMBULISHA THEN AKASEMA ANAHITAJ KWENDA CUSTOMER SERVICE... NA AMEVAA KAMA MOJA YA WAFANYAKAZ WA BANK... AKAWAKUTA WOTE JAPO HAKUJUA KAMA NA OFFICIALS WA BANK WAPO PIA... KWA DHARAU AKASEMA HIYO NI KADI YA BRO ANGU NA TULIWATUMA VIJANA WAJE WATUFANYIE SHOPPING... AKATOA KITAMBULISHO AKASEMA NI CHA KAKA AKE.... WALICHOFANYA WALE MANAGERS WA GAME WAKAMKAMATA BILA HATA KUONGEA NAE ZAIDI CAS ISS TRUE CARD NI FAKE NA KITAMBULISHO PIA NI FAKE... NA NI KWELI WALIKUA WANATAKA KUMUIBIA MTU MWINGNE KWENYE A/C THROUGH SHOPPING.... JAMAA YUKO MAHABUSU HADI NOW..... NA KESI BADO HAIJAANZA KUUNGURUMA.....HII IMEKAAJE WADAU CAS WANASEMA NI MALA NYINGI TU WQTU WANAENDA NA CARD FAKE PALE GAME ILA CASHIRS WANAWASHTUKIA NA KILA MALA HUWA WANAKIMBIA NA KUACHA CARD ZAO FALE PALE.... HILI LA CARD FAKE LIMEEKAAJE WADAU.........