Wizi kwenye ATM za CRDB

Wizi kwenye ATM za CRDB

KUNA ISSUE NILISIKIA IMETOKEA GAME STORE MLIMANI CITY... JUZI KATI HAPA KUNA WATU WALIENDA KUSHOP VITU KAMA VYA 3 MILLION.. THEN WAKAENDA KWA CASHIER WAKASEMA WANALIPIA KWA CARD AND ILIKUA YA CRDB... LAKIN CASHIER AKASHTUKA CAS HAO JAMAA WALIKUA KAMA WANA WASIWASI MKUBWA... NA BAHATI NZURI NI KWAMBA BILA KITAMBULISHO CASHIER HAWEZ KUFANYA TRANSACTIONS ZA CARD AMBAZO KIWANGO CHA HELA NI MORE THAN ONE MILLION... AKAWAOMBA KITAMBULISHO WAKASEMA HAWANA... AKASEMA SIWEZI KUFANYA HII TRANSACTION NGJA NIMWITE SUPERVISOR.... AKAONDOKA KWENDA KWA SUPERVISOR WAKE.... ALIPOONDOKA TU JAMAA WAKAKIMBIA FASTA WAKATOKOMOEA KUSIKIJULIKANA JAPO CASHIER ALIKUA KASHAGUNDUA KUWA CARD NI FEKI SO WAKAWAPIGIA MAAFISA WA BANK WAKAJA WAKATHIBITISHA CARD NI FAKE.... WAKATI HAYO YAKIENDELEA WANASEMA GHAFLA AKAJA JAMAA MMOJA AKAJITAMBULISHA THEN AKASEMA ANAHITAJ KWENDA CUSTOMER SERVICE... NA AMEVAA KAMA MOJA YA WAFANYAKAZ WA BANK... AKAWAKUTA WOTE JAPO HAKUJUA KAMA NA OFFICIALS WA BANK WAPO PIA... KWA DHARAU AKASEMA HIYO NI KADI YA BRO ANGU NA TULIWATUMA VIJANA WAJE WATUFANYIE SHOPPING... AKATOA KITAMBULISHO AKASEMA NI CHA KAKA AKE.... WALICHOFANYA WALE MANAGERS WA GAME WAKAMKAMATA BILA HATA KUONGEA NAE ZAIDI CAS ISS TRUE CARD NI FAKE NA KITAMBULISHO PIA NI FAKE... NA NI KWELI WALIKUA WANATAKA KUMUIBIA MTU MWINGNE KWENYE A/C THROUGH SHOPPING.... JAMAA YUKO MAHABUSU HADI NOW..... NA KESI BADO HAIJAANZA KUUNGURUMA.....HII IMEKAAJE WADAU CAS WANASEMA NI MALA NYINGI TU WQTU WANAENDA NA CARD FAKE PALE GAME ILA CASHIRS WANAWASHTUKIA NA KILA MALA HUWA WANAKIMBIA NA KUACHA CARD ZAO FALE PALE.... HILI LA CARD FAKE LIMEEKAAJE WADAU.........
Sehemu kubwa ya wizi kwenye mabenki huusisha wafanyakazi wa benki wenyewe.. Wale IT specialists wao na wahasibu
 
Mim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu.
Siku ya kwanza alitoa one M.
Siku ya pili 1.7m na siku ya tatu 1m.
Ikumbukwe kwamba maximum transaction kwa siku ni one Million kwenye atm Lakin huyo mwizi alitoa 1.7 kwa siku.
Vile vile mim nimejiunga na sim banking Lakin tangu niibiwe sikuweza kupata sms toka sim banking kwamba card yangu inatumika mahali.
Kwa maana hiyo mwizi aliblock mawasiliano yangu ya sim banking ili nisijue kinachoendelea.
Baada ya kugundua nimeibiwa nilienda kwa meneja wa crdb kumueleza kilichotokea na majibu yake ni kwamba hawausiki na wizi wa kwenye atm Hilo ni la mteja mwenyewe. Na bank haifidii chochote.
Ndugu wanasheria mliobobea naombeni msaada hapo wa kisheria kama naweza kuishtaki bank au la.
Samahani kwa kukuuambia hichi..ulipaswa toa taarifa kadi yako iwe deactivated dakika uliojua imepotea..samahani sana ila ilaumu nafsi yako
 
Nilichoana hapa ni kwamba jamaa hakupoteza kadi ila huenda mpenzi wake au mke wake kamuzunguka,haiingii akilini kabisa.
Okonko si kweli, huku nilipo nipo mwenyewe na familia iko mkoa mwingine.
 
Samahani kwa kukuuambia hichi..ulipaswa toa taarifa kadi yako iwe deactivated dakika uliojua imepotea..samahani sana ila ilaumu nafsi yako
Nlifanya hivyo but tayari alikuwa ashachukua hela.. Elewa kwamba nligungua siku ya tatu tangu Ilipopotea nikaenda toa taarifa bank wakaiblock kisha nikaanza mchakato wa police
 
Wewe ndio unajua ukweli, kwani wengine tuna mashaka , tunaomba USHAURI wako halisi, ili wenzio tusije kufilisiwa,

Kwa nia Njema tu naomba kukuliza JE UTAENDELEA KUTUMIA ATM CARD (baada ya kupewa nyingine) kwa tahadhari ?
au kwa janga hilo hutegemei tena kutumia ATM CARD wala kuchukua nyingine ? ?
 
Pole Sana Hapa Ni Demu Wako Ndo kakufanyia hivi duu mapensi haya chamani.
 
Ulipoibiwa ATM Card uliripoti bank ili wablock your account?
 
Mim ni mteja wa crdb bank nna visa card ya bank tajwa hapo juu. Nliibiwa tembo card yangu na mwizi akafanikiwa kuniibia kiasi cha 3.7m kwa mda wa siku tatu.
Siku ya kwanza alitoa one M.
Siku ya pili 1.7m na siku ya tatu 1m.
Ikumbukwe kwamba maximum transaction kwa siku ni one Million kwenye atm Lakin huyo mwizi alitoa 1.7 kwa siku.
Vile vile mim nimejiunga na sim banking Lakin tangu niibiwe sikuweza kupata sms toka sim banking kwamba card yangu inatumika mahali.
Kwa maana hiyo mwizi aliblock mawasiliano yangu ya sim banking ili nisijue kinachoendelea.
Baada ya kugundua nimeibiwa nilienda kwa meneja wa crdb kumueleza kilichotokea na majibu yake ni kwamba hawausiki na wizi wa kwenye atm Hilo ni la mteja mwenyewe. Na bank haifidii chochote.
Ndugu wanasheria mliobobea naombeni msaada hapo wa kisheria kama naweza kuishtaki bank au la.
Kumbe thread ya zamani sana
 
KUNA ISSUE NILISIKIA IMETOKEA GAME STORE MLIMANI CITY... JUZI KATI HAPA KUNA WATU WALIENDA KUSHOP VITU KAMA VYA 3 MILLION.. THEN WAKAENDA KWA CASHIER WAKASEMA WANALIPIA KWA CARD AND ILIKUA YA CRDB... LAKIN CASHIER AKASHTUKA CAS HAO JAMAA WALIKUA KAMA WANA WASIWASI MKUBWA... NA BAHATI NZURI NI KWAMBA BILA KITAMBULISHO CASHIER HAWEZ KUFANYA TRANSACTIONS ZA CARD AMBAZO KIWANGO CHA HELA NI MORE THAN ONE MILLION... AKAWAOMBA KITAMBULISHO WAKASEMA HAWANA... AKASEMA SIWEZI KUFANYA HII TRANSACTION NGJA NIMWITE SUPERVISOR.... AKAONDOKA KWENDA KWA SUPERVISOR WAKE.... ALIPOONDOKA TU JAMAA WAKAKIMBIA FASTA WAKATOKOMOEA KUSIKIJULIKANA JAPO CASHIER ALIKUA KASHAGUNDUA KUWA CARD NI FEKI SO WAKAWAPIGIA MAAFISA WA BANK WAKAJA WAKATHIBITISHA CARD NI FAKE.... WAKATI HAYO YAKIENDELEA WANASEMA GHAFLA AKAJA JAMAA MMOJA AKAJITAMBULISHA THEN AKASEMA ANAHITAJ KWENDA CUSTOMER SERVICE... NA AMEVAA KAMA MOJA YA WAFANYAKAZ WA BANK... AKAWAKUTA WOTE JAPO HAKUJUA KAMA NA OFFICIALS WA BANK WAPO PIA... KWA DHARAU AKASEMA HIYO NI KADI YA BRO ANGU NA TULIWATUMA VIJANA WAJE WATUFANYIE SHOPPING... AKATOA KITAMBULISHO AKASEMA NI CHA KAKA AKE.... WALICHOFANYA WALE MANAGERS WA GAME WAKAMKAMATA BILA HATA KUONGEA NAE ZAIDI CAS ISS TRUE CARD NI FAKE NA KITAMBULISHO PIA NI FAKE... NA NI KWELI WALIKUA WANATAKA KUMUIBIA MTU MWINGNE KWENYE A/C THROUGH SHOPPING.... JAMAA YUKO MAHABUSU HADI NOW..... NA KESI BADO HAIJAANZA KUUNGURUMA.....HII IMEKAAJE WADAU CAS WANASEMA NI MALA NYINGI TU WQTU WANAENDA NA CARD FAKE PALE GAME ILA CASHIRS WANAWASHTUKIA NA KILA MALA HUWA WANAKIMBIA NA KUACHA CARD ZAO FALE PALE.... HILI LA CARD FAKE LIMEEKAAJE WADAU.........
Zilipendwa hii.
 
Mada ya zamani ila Nami nachangia ILA UKWELI UTAKUUMA,huu ni uzembe, mtu kuchukua pesa thr ATM lazima awe na PIN, hii PIN ilikua compromised ndio maana mwizi akafanikiwa kuchukua pesa pale atm 🏧, huwezi kutumia atm kama huna PIN
 
Mada ya 2016 raia mnai-update leo 2024 😂
 
Pole Sana, me niliibiwa 40,000 roho mpaka Leo inaniuma, Nayahisi maumivi yako.
 
Back
Top Bottom