Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hapo DUWASA Kuna mfanyakazi wao anakatakata mita Kwa fundi kuchomelea anaitwa Big pembeni ya ofisi Yao. Vyombo vya Sheria viwaulize machalii WA hapo kistaarabu watawatajia jina la mwamba anaendaga kukatakata mita Kila mwezi hapo
Wenyewe Kwa WenyeweHapo DUWASA Kuna mfanyakazi wao anakatakata mita Kwa fundi kuchomelea anaitwa Big pembeni ya ofisi Yao. Vyombo vya Sheria viwaulize machalii WA hapo kistaarabu watawatajia jina la mwamba anaendaga kukatakata mita Kila mwezi hapo
Hii nchi imekithiri kwa vituko, sasa huyu anauliza swali wakati alishajijibu mwenyewe mwanzoni mwa maelezo yakeMkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amesema imebainika mita zinaziibiwa zinakwenda kutengenezea bangili na pete
Hao wanaoiba mita wanaenda kuzifanyia nini? Kwa ambao tumeweza kufanya uchunguzi wengi wanaenda kuyeyusha na kutengeneza bangili, pete... au kwa ajili ya chuma cha kavu."
Unaweza kukuta na hao wezi nao pia hua wanalaumu mitandaoni kuhusu maendeleo na kulaani wizi wa mali za umma.Sasa hapo mnategemea nchi iendelee?
Mara wameiba Transfoma na sasa haya tena
Hata kama kuna njaa na shida, hapana kwa kweli
Hawa ni wa kunyonga tu
Kweli kabisaUnaweza kukuta na hao wezi nao pia hua wanalaumu mitandaoni kuhusu maendeleo na kulaani wizi wa mali za umma.
DUWASA ya wapi?Hapo DUWASA Kuna mfanyakazi wao anakatakata mita Kwa fundi kuchomelea anaitwa Big pembeni ya ofisi Yao. Vyombo vya Sheria viwaulize machalii WA hapo kistaarabu watawatajia jina la mwamba anaendaga kukatakata mita Kila mwezi hapo
Hiyo y Dodoma jijiDUWASA