Wizi mkubwa nilio ushudia kivuko cha Busisi


Unasema sababu ujapata nafasi ya kuiba
 
Unasema sababu ujapata nafasi ya kuiba
Kila mtu mwenye pumzi ana nafasi ya kuwa mwizi akiamua. Tofauti ni aina, mbinu, kiasi, uwezo, nk.

Sijawahi, na ninaendelea kumuomba Mungu wangu anizidishie nguvu na utashi, nisithubutu kuiba hata thumni ya mtu yoyote.
 
sikia ndugu hata mawaziri wanaiba,hata marais wanaiba embu jaribu kua mpole,sio kila unachoona unataka ukiseme vingine viache.
 
Umechelewa sana kujua hilo,,, huo mchezo una zaidi ya miaka kwenye mwendokasi za dsm,, ukiacha tiket tu ujue umeshaliwa...

Zile mashine hazija haribika kwa bahati mbaya,,, na sio kwamba wanashindwa ku-repair.
 
Acha kushededea wizi mdogo mdogo...
Umesikia ripot ha CAG?? Mtu alizabuni 104 Bil, akauza tenda kwa 40 Bil....!!!
Nchi ngumu hii
 
Chief hangaya kasema wale kwa urefu wa kamba..wewe ni nani kulipinga hilo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii nchi ni yetu site, kazi iendelee...TUNATAKA watumishi wenye nidhamu ya moyoni na sio nidhamu ya woga!
 
Mda wa kurudisha hasara walizo pata enzi za utawala wa simba Yamaume wa nyikani.

Kila mbuzi anaanza kula kulingana na uzio wake
Enzi za Jiwe upigaji wao ulikuwa ni kujifanya hawana chenji....sasa hivi wameanua kutafuna hadi gogo na shoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…