Wizi mkubwa nilio ushudia kivuko cha Busisi

Wizi mkubwa nilio ushudia kivuko cha Busisi

Hayo mambo yalikua Kigamboni, mfumo wa N card umesaidia.... Mfumo wa Card uwe kila sehemu itasaidia
 
Mkuu, bilashaka wanatekeleza maagizo kwa urefu wa kamba..😂
Wewe ni muongo mkubwa. Mimi natumia kivuko hicho angalau mara sita kwa wiki (kwenda na kurudi) sijawahi ona kitu kama hicho. Labda nikuulize, vile vimlango vinafunguka baada ya mhudumu ku scan barcode za tiketi yako. Na akiishafanya hivyo, tiketi inakuwa haina kazi tena. Sasa wewe ulipitaje?
 
Ila mkuu, kama kweli wanaiba, je hiyo ni rizki yao kweli?
Maisha magumu sasa wafanyaje ndio rizki yenyewe hiyo maadam hawamwibii mtu wanaiibia serikali . Muhimu aliyetoa hela yake anapata huduma anayoitaka. Hela ya ufisadi tamu we sikia tuu.
 
Rizki si wanalipwa mshahara?
Mshahara hautoshi.wakubwa wanajilipa mahela mengi plus posho za kumwaga .hao ukifuatilia utaambiwa laki 3 kwa mwezi. Mfumuko wa bei ndio kama unavyoona unadhani wataacha kuiba? Hawapendi lakini life linabana mzee.
 
Mkuu, ebu nyoosha maelezo "kwamba meamua kubariki wizi kwenye nchi hii"
Hatujabariki wizi lakini si vibaya watoto wakipata japo sabuni na mafuta ya kula kidogo .mzee huuoni huu mfumuko wa bei [emoji1787][emoji1787] usisahau mama yupo Washington na atakaa kama wiki 1 hivi.
 
Wewe ni muongo mkubwa. Mimi natumia kivuko hicho angalau mara sita kwa wiki (kwenda na kurudi) sijawahi ona kitu kama hicho. Labda nikuulize, vile vimlango vinafunguka baada ya mhudumu ku scan barcode za tiketi yako. Na akiishafanya hivyo, tiketi inakuwa haina kazi tena. Sasa wewe ulipitaje?
Utoto bado unakusumbua kijana, nilicho kiandika nimeshuhudia kwa macho yangu
 
Hatujabariki wizi lakini si vibaya watoto wakipata japo sabuni na mafuta ya kula kidogo .mzee huuoni huu mfumuko wa bei [emoji1787][emoji1787] usisahau mama yupo Washington na atakaa kama wiki 1 hivi.
Basi sawa mkuu, lakini ndio nishawasagia kunguni hapa...😜
 
Yaani sasa hivi wanakula maana waliambiwa wale Ila wasizidi kamba au kuvimbiwa. Ila narudia wanakula Sana.
 
Back
Top Bottom