Kwanini matapeli wa Tanzania wanakuwa kama vile watu wenye elimu duni? Yaani maandishi yao huwa wanaandika hovyo mno. Ni mabingwa wa kuchanganya R na L. Yaani maandishi yao huwa ni ushuzi mtupu. Kimsingi mtu anayepigwa na tapeli wa Tz atakuwa kajitoa kabisa ufahamu kwa kutanguliza tamaa.