Wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, What happened.?

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
862
Reaction score
1,430
Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2

Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi

Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W

Kwa anayejua, atufafanulie
 
Safi!! Nikisikiaga vitu kama hivi bongo nafurahi sana sio kwa ubaya ila ni ishara tosha kwamba fani ya Cyber security inazidi kuimarika....kilichofanyika apo uyo wakala atakua amesomea cyber vizuri So akafanya majaribio kadhaa ya kupata access ya kuingia kwenye administration ya server za hao Selcom
(altafuta Bug(upenyo)) Akapata access ya server zao So akaona kila kituu....uyo jamaa ujinga alioufanya ni kujitumia izo pesa na kuwatumia watu wengne washkaji wake anaowajua wao....Angefanya namna izo pesa azipeleke kwenye crypto kama bitcoin saivi selcom ingekua inahesabu maumivu tu....

Ila Selcom walivyojua kwamba kuna mtu kaweza kupenya kwenye server zao...wakafanya kautafiti kadpgo tu kwa vile wanadata zote za mawakala So wakaanza kutafta Wakala alietuma pesa nyingii kwa mda mchachee...tofauti na kawaida..Ndo wakamdaka Jamaa

Ila jamaa angeenda na plan from A to Z aisee Selcom saivi wangekua wanaugulia maumivu tu

Mwisho...Nchi zilizoendelea taasisi nyeti za kifedha zimeajili cyber security ambao kazi yao ni kutafta bugs kwenye mfumo ila kwa bongo sidhani kama wanaajili ethical hacker....
 
Cyber war haijawahi kuwa rahisi hata uwe na wataalamu walio bobea kivipi. Kila uchwao israel usa uk german iran urusi wanadukuana yani ni kuzungukana tu kimyakimya. Ukishambuliwa leo unapiga kimya unasubiri mwenzako akilala nawewe unajichotea taarifa unazotaka
 
Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2

Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi

Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W

Kwa anayejua, atufafanulie
Hiyo ni wao na BOT
 
Back
Top Bottom