Wizi wa Buguruni kwa Wajenzi

Wizi wa Buguruni kwa Wajenzi

Mkuu hiyo kwenye red wako wapi hao mkuu maana nami najiandaa kuanza ujenzi.

Hao Yemen wako Buguruni ukipita Kobil (Maarufu shell), lakini kabla hujaenda ujiandae kunywa dawa za kuzuia hasira. Maana sijaona wadada wa kiarab ambao wana dharau kuliko wao, infact siku ya kwanza nilivumilia nikanunua, lakini siku yapili nilishindwa bana ilibidi niwaambie ukweli then nikatimua zangu. Huwa najiuliza sana hali ya wafanyabiashara wetu katika hili soko la Pamoja la East Afrika! kusema ukweli kenya watatuburuza sana, hawana ujanjaujanja huo, wana lugha nzuri ya biashara, atakachokwambia ndio chenyewe/fake atakwambia fake, china atakwambia china, Japan Japan, Gage atakwambia kwa usahihi wake. Nakushauri badala ya Yemen au Wahenga nendeni Tabata ukivuka daraja la baada ya Njia panda ya tabata ukiwa unaenda Ubungo, then turn right utaona wako jamaa pale nadhani ni warusi au sjui kina nani-Wanauza bei poa saaaana na hawako kwa ajili ya kutangaza utukufu wao kama hao yemen, usalama ni wa kutosha, they have each an everything katika ujenzi.
 
Je umewahi kununua saruji yenye uzito pungufu? Hata kilo moja ya misumari wanaiba. Kuna jamaa kila nondo inayofika kwao wanakula ft nne, kwa hiyo ukinunua kwa pcs bila kupima,unapoteza ft 4 au 3 hivi kwa kila nondo.

Nilikwenda soko la dunia pale, jamaa kaniambia kuna nondo za Tsh 14,000/ mm 12 na Tsh 16500/ za mm 12. Nikamuuliza inakuwaje, jamaa kaniambia wao wakale wapi? Kwa hiyo zile ft 4 wanazokula ndio wanawauzia jamaa wa madirisha. Hiyo ni bongo zaidi ya uijuavyo. Kwa hiyo wakiona wewe mshamba fulani hivi, wanakuuzia nondo zenye urefu pungufu.

Nadhani nchi yetu ina ombwe la uongozi, haiwezekani nchi yenye uongozi japo 10% ya maana ya uongozi then haya yatokee [Petrol Station=ujanjaujanja, mbao=ujanjaujanja, bati, saruji, nondo pia ujanjaujanja, umeme=ujanjaujanja, maji hao dawasco=ujanjaujanja, ukinunua nyanya, mbatata, embe, carrots, nk in bulk katika masoko ya bongo(especially buguruni)=ujanjaujanja, ukinunua simu ujanjaujanja, ukinunua vcd, cd, dvd=ujanjaujanja; yaani mlolongo ni mrefu kote ni ujanjaujanja tu sjui viongozi wetu wanata kuunda taifa gani wallah!
 
Hao Yemen wako Buguruni ukipita Kobil (Maarufu shell), lakini kabla hujaenda ujiandae kunywa dawa za kuzuia hasira. Maana sijaona wadada wa kiarab ambao wana dharau kuliko wao, infact siku ya kwanza nilivumilia nikanunua, lakini siku yapili nilishindwa bana ilibidi niwaambie ukweli then nikatimua zangu. Huwa najiuliza sana hali ya wafanyabiashara wetu katika hili soko la Pamoja la East Afrika! kusema ukweli kenya watatuburuza sana, hawana ujanjaujanja huo, wana lugha nzuri ya biashara, atakachokwambia ndio chenyewe/fake atakwambia fake, china atakwambia china, Japan Japan, Gage atakwambia kwa usahihi wake. Nakushauri badala ya Yemen au Wahenga nendeni Tabata ukivuka daraja la baada ya Njia panda ya tabata ukiwa unaenda Ubungo, then turn right utaona wako jamaa pale nadhani ni warusi au sjui kina nani-Wanauza bei poa saaaana na hawako kwa ajili ya kutangaza utukufu wao kama hao yemen, usalama ni wa kutosha, they have each an everything katika ujenzi.

Kweli kabisa, ni warasimu sana, asante mkuu nilikuwa silijui hili duka la hapa Tabata njia panda, nitawapitia niwaone mkuu.
 
Mkuu ombwe la uongozi limetokana na uchaguzi wa viongozi kufanywa kwa ujanja ujanja kama ulivyoainisha kuwa kila kitu ni ujanja ujanja, hata dogo juzi kasema Bongo tunaishi kimjini mjini, na huyo ni mwanasheria, je vilaza wafanyeje?
 
hao warusi wa Tabata ni wazuri ,nimeshawahi kuwa recommended nao na mtu anayeuza hardware,nilikuwa nataka nondo nyingi,akanishauri nikanunue kwa tani.
kupunguza wizi wa cement,mimi natumia tofali za kuchoma,udongo mfinyanzi na chokaa,paa nimetumia miti ya mirunda(iko treated vizuri kuliko mbao za buguruni kwa futi)
Wizi kwa tanzania imekuwa jambo la kawaida kabisa.na linazidi kuwa tatizo sugu hasa tunapofanya chaguzi kwa kutumia pesa nyingi bila kujiuliza chanzo cha hizo pesa za chaguzi
 
Mkuu hao Warusi nondo wanauza hata nusu tani au ni lazima iwe tani nzima?
 
hao warusi wa Tabata ni wazuri ,nimeshawahi kuwa recommended nao na mtu anayeuza hardware,nilikuwa nataka nondo nyingi,akanishauri nikanunue kwa tani.
kupunguza wizi wa cement,mimi natumia tofali za kuchoma,udongo mfinyanzi na chokaa,paa nimetumia miti ya mirunda(iko treated vizuri kuliko mbao za buguruni kwa futi)
Wizi kwa tanzania imekuwa jambo la kawaida kabisa.na linazidi kuwa tatizo sugu hasa tunapofanya chaguzi kwa kutumia pesa nyingi bila kujiuliza chanzo cha hizo pesa za chaguzi
Safi mkuu wangu,
Buguruni kwa waswahili wenzetu ni wizi mtupu.
 
Nadhani nchi yetu ina ombwe la uongozi, haiwezekani nchi yenye uongozi japo 10% ya maana ya uongozi then haya yatokee [Petrol Station=ujanjaujanja, mbao=ujanjaujanja, bati, saruji, nondo pia ujanjaujanja, umeme=ujanjaujanja, maji hao dawasco=ujanjaujanja, ukinunua nyanya, mbatata, embe, carrots, nk in bulk katika masoko ya bongo(especially buguruni)=ujanjaujanja, ukinunua simu ujanjaujanja, ukinunua vcd, cd, dvd=ujanjaujanja; yaani mlolongo ni mrefu kote ni ujanjaujanja tu sjui viongozi wetu wanata kuunda taifa gani wallah!
Umenivunja mbavu zangu!
Umesomea utafiti?
Well said!
 
Pamoja na kuhakikisha futi kamba sahihi inatumika na mnunuzi kuandika wakati wa kupima, control nyingine ya kujaribu kupuguza kuibiwa ni kuweka limits ya urefu wa mbao unazozitaka. Kwa mfano unaweza kusema kuanzia futi 18 mpaka 20 (zaidi ft 20 au chingi ya ft 18 waweke kando).

Hii itakusaidia sana wakati wa kujumlisha vipimo. Kwa sababu utakuwa unajua idadi ya mbao na jumla ya futi zilizopatikana, unachofanya ni kugawanya huo urefu kwa idadi ya mbao (jawabu ni lazima liwe kati ya 18 na 20!). Hili ni muhimu sana hasa kama unanunua mbao nyingi. Binafsi niliwahi kutumia njia hii na niliweza kung'amua janja yao katika kujumlisha records (nilikuwa napata wastani wa futi 22 kwa kila mbao wakati mbao zote zilikuwa katika range ya ft 18 mpaka 20 tu!). Eneo jingine ni katika kubadili vipimo, kutoka futi kwenda mita (or vice versa) inabidi kuwa makini sana. Hakikisha unajua kwa uhakika futi 1 ni sawa na inch ngapi, na pia futi moja ni sawa na mita/sentimita ngapi!
 
duh, najihisi kutafuta mume wa kunisaidia mambo haya, maana hadi nyumba yangu inaisha ntakuwa nimenyonywa mpaka basi.

Yaani mwanaume ndio lahisi kuibiwa bora ata wewe watakua wanakuangalia angalia wanaweza kukuongeza!
 
Pamoja na kuhakikisha futi kamba sahihi inatumika na mnunuzi kuandika wakati wa kupima, control nyingine ya kujaribu kupuguza kuibiwa ni kuweka limits ya urefu wa mbao unazozitaka. Kwa mfano unaweza kusema kuanzia futi 18 mpaka 20 (zaidi ft 20 au chingi ya ft 18 waweke kando).

Hii itakusaidia sana wakati wa kujumlisha vipimo. Kwa sababu utakuwa unajua idadi ya mbao na jumla ya futi zilizopatikana, unachofanya ni kugawanya huo urefu kwa idadi ya mbao (jawabu ni lazima liwe kati ya 18 na 20!). Hili ni muhimu sana hasa kama unanunua mbao nyingi. Binafsi niliwahi kutumia njia hii na niliweza kung'amua janja yao katika kujumlisha records (nilikuwa napata wastani wa futi 22 kwa kila mbao wakati mbao zote zilikuwa katika range ya ft 18 mpaka 20 tu!). Eneo jingine ni katika kubadili vipimo, kutoka futi kwenda mita (or vice versa) inabidi kuwa makini sana. Hakikisha unajua kwa uhakika futi 1 ni sawa na inch ngapi, na pia futi moja ni sawa na mita/sentimita ngapi!

Asante mkuu
 
Kwa Dar es Salaam ukiona mtu amejenga nyumba amemaliza, fahamu kuwa 40% ya expenditure aliibiwa na Hardware Suppliers & Mafundi Ujenzi! Wao wanasema wakale wapi!!!!

kaka umenena ukweli mtupu sasa ndo nagundua kwamba wakati nikijenga kiota changu nilikuwa nalizwa kinyama
 
Nchi hii sasa haina mwenyewe! Kila kona ni ujanja ujanja hakuna wa kumfunga paka kengele. Hali inatisha kila kona. Mpaka hospitali zipo zinauza dawa feki na hata unaweza kupewa dawa ambayo haiendani na maradhi yako. Mamlaka zipo na zinaona ila zinazembea. Tutafika kweli wajameni?
 
Hao Yemen wako Buguruni ukipita Kobil (Maarufu shell), lakini kabla hujaenda ujiandae kunywa dawa za kuzuia hasira. Maana sijaona wadada wa kiarab ambao wana dharau kuliko wao, infact siku ya kwanza nilivumilia nikanunua, lakini siku yapili nilishindwa bana ilibidi niwaambie ukweli then nikatimua zangu. Huwa najiuliza sana hali ya wafanyabiashara wetu katika hili soko la Pamoja la East Afrika! kusema ukweli kenya watatuburuza sana, hawana ujanjaujanja huo, wana lugha nzuri ya biashara, atakachokwambia ndio chenyewe/fake atakwambia fake, china atakwambia china, Japan Japan, Gage atakwambia kwa usahihi wake. Nakushauri badala ya Yemen au Wahenga nendeni Tabata ukivuka daraja la baada ya Njia panda ya tabata ukiwa unaenda Ubungo, then turn right utaona wako jamaa pale nadhani ni warusi au sjui kina nani-Wanauza bei poa saaaana na hawako kwa ajili ya kutangaza utukufu wao kama hao yemen, usalama ni wa kutosha, they have each an everything katika ujenzi.

panaitwa KAMAKA HARDWARE
 
Back
Top Bottom