Wizi wa Karne! Benki Kuu Yaibwa Bila CCTV Kuona – Hela Zaidi ya Bilioni 180 Tsh Zimepulizwa

Wizi wa Karne! Benki Kuu Yaibwa Bila CCTV Kuona – Hela Zaidi ya Bilioni 180 Tsh Zimepulizwa

Operesheni Mole Faction​


Polisi walijua hawa jamaa si watu wa kawaida. Lakini wangeanza kumdaka katibu pale pale? Game ingekuwa spoil. Kwa hiyo, walimpeleleza kwa siri kupitia mawasiliano yake ya simu – tracking move-by-move, bila kuonesha.


Waka-launch Operesheni Mole Faction – idea ilikuwa kuu: kila member wakamatwe wakati mmoja, hakuna kukimbia *****


Sasa Alemão… yeye ni master wa game. Alituma milioni 2.3 reais kwenye magari yaliyoletwa kwa trela kuelekea São Paulo – purpose? kupotosha polisi, wajue kwamba jamaa wapo huko. Classic misdirection move.wakaenda kuyatupa magari sao paulo mji mwingine


polisi walipata intelligence muhimu – kundi lote lingekutana kwenye point moja. polisi wakajua mchezo umeisha


Polisi walizunguka eneo la tukio, disguised kama watu mtaani baadhi polisi walikuwa wapita njia, wengine wakiwa wachimbaji wa mitaani, mafundi, hata wazee wakipeleka mtoto shuleni.


Baada ya dakika 20, boom! Polisi walivamia chini ya ulinzi mamaee – haraka, smart, full action. Kila jamaa alikamatwa bila chance ya kukimbia. kaa chini
OIG1 (3).jpeg
 

Kukamatwa na Hatima​


Baada ya drama yote, mwisho wa siku ulifika. Huyu mlinzi wa ndani, Deusimar Neves Queiroz, ambaye alikuwa amewapa jamaa blueprint ya Benki Kuu, pia alikamatwa. Uchunguzi ukaonyesha alikuwa na milioni 2 kwenye account yake wiki chache tu baada ya wizi – hio ilikuwa clue kubwa.
intro-1695827837.jpg





Alemão? Yeye hakuweza kukwepa for ever. Miaka mitatu baadaye, bam! Alikamatwa. Na miongoni mwa wengine waliokamatwa? Antonio Reginaldo de Araujo na Moisés Teixeira da Silva – yani Tatuzão.


Sasa hiyo pesa ya reais milioni 164? Hapo tu, milioni 40 pekee zilipatikana. Zilizobaki? Gone for good, bro – hazijulikani hadi leo.




💡 Lesson ya mwisho: Hii stori ya wizi inatuonyesha – planning ni everything, strategy ni king, lakini halali ni njia yako ya kweli ku-enter game.


Na kama unataka kuzidi kuwa smart katika hustle yako, tumekuandalia bando kali la vitabu:


📚 Jinsi ya Kuagiza Mizigo Kutoka China
📚 Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu
📚 Machimbo ya Kariakoo – Maduka na Namba za Wajanja wa Jumla
📚 Jinsi ya Kutumia AI Kwenye Biashara


Hizi zote ziko kwenye package moja, na unaweza kuzipata sasa kupitia link hii: 👉🏽 https://lordnick.site/offer-kubwa/


Hii ndiyo chance yako ya kujifunza tricks za business na hustle kwa smart, bila kuingia trouble. Kila chapter ya life ni opportunity, bro – chukua leo!
💰 Nunua Vitabu Viwili, Lipa 9,900 TSh Pekee!.png
 
Hii stori juzi juzi kuna mtu alinisimulia kwa juu juu tuu
 
Hii story alisha tuletea Buyobe kwa uzuri kabisa, na ilikuwa tamu kuliko hii.
 
Maguvu na akili nyiiiiingi halafu mwishowe kitanzini


Sijui kwa nini wezi wengi wa benki hawajawahi fanikiwa kutokamatwa mwisho wao lazima wakamatwe tu
 
  • Ngazi ikiongoza chini,
  • Mbao zenye kukashikilia walls,
  • Plastiki kufunika corner zote,
  • Nyaya za umeme na simu zikiwa safi,
  • Hata kiyoyozi kilikuwa installed!
vyote hivi ndani ya space yenye kipenyo cha 70 cm ?
  • Urefu: mita 80 straight,
  • Kina: mita 4 chini ya ardhi,
  • Kipenyo: sentimita 70 tu – enough kwa mtu kujisukuma kama snake.
 
Maguvu na akili nyiiiiingi halafu mwishowe kitanzini


Sijui kwa nini wezi wengi wa benki hawajawahi fanikiwa kutokamatwa mwisho wao lazima wakamatwe tu
Uzembe wa wachache ni sikitiko la wengi
 

Kukamatwa na Hatima​


Baada ya drama yote, mwisho wa siku ulifika. Huyu mlinzi wa ndani, Deusimar Neves Queiroz, ambaye alikuwa amewapa jamaa blueprint ya Benki Kuu, pia alikamatwa. Uchunguzi ukaonyesha alikuwa na milioni 2 kwenye account yake wiki chache tu baada ya wizi – hio ilikuwa clue kubwa.View attachment 3457846




Alemão? Yeye hakuweza kukwepa for ever. Miaka mitatu baadaye, bam! Alikamatwa. Na miongoni mwa wengine waliokamatwa? Antonio Reginaldo de Araujo na Moisés Teixeira da Silva – yani Tatuzão.


Sasa hiyo pesa ya reais milioni 164? Hapo tu, milioni 40 pekee zilipatikana. Zilizobaki? Gone for good, bro – hazijulikani hadi leo.




💡 Lesson ya mwisho: Hii stori ya wizi inatuonyesha – planning ni everything, strategy ni king, lakini halali ni njia yako ya kweli ku-enter game.


Na kama unataka kuzidi kuwa smart katika hustle yako, tumekuandalia bando kali la vitabu:


📚 Jinsi ya Kuagiza Mizigo Kutoka China
📚 Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu
📚 Machimbo ya Kariakoo – Maduka na Namba za Wajanja wa Jumla
📚 Jinsi ya Kutumia AI Kwenye Biashara


Hizi zote ziko kwenye package moja, na unaweza kuzipata sasa kupitia link hii: 👉🏽 https://lordnick.site/offer-kubwa/


Hii ndiyo chance yako ya kujifunza tricks za business na hustle kwa smart, bila kuingia trouble. Kila chapter ya life ni opportunity, bro – chukua leo!
View attachment 3457807
Wamekamatwa kizembe sana
 
Back
Top Bottom