Wizi wa kuaminiwa!

Wizi wa kuaminiwa!

Ed771

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
37
Reaction score
15
Habari ya leo,

Nina matumaini wote wazima.

Mimi nimepata mkasa tangu tarehe 12.11.2017, nilienda kununua simu Kariakoo, mtaa wa Aggrey, nikauziwa simu Nokia fake, ambayo nilifanikiwa kuirudisha, ila toka niirudishe nimekuwa nikizungushwa kupata pesa yangu, yaani nimekuwa nikiambiwa kesho, jioni, baada ya siku 2 kwa zaidi ya mara 15 mpaka ikalilazimu kwenda polisi, nimefungua jalada ila polisi nao walipoteza file langu, kwa maana hiyo case haijapata mpelelezi mpaka muda huu ila huyu tapeli anadai nimemtukana hivyo inampa haki yeye kunidhulumu.

Sasa hivi anang'ang'ania lazima tuonane ili anilipe, inauma kwa kweli.

Nahisi ananichezea, nahisi ana nia ya kudhulumu.

Naomba ushauri yakinifu wa kisheria tafadhalini.
 
Pole sana mwana wa nchi mwenzangu najua taifa letu halijaendelea sana hiyo utunzaji wa nyaraka umekuwa changamoto .Sasa nakushauri Fanya yafutay😵nana na mkuu wa kituo umuelezee tukio Bila shaka litafunguliwa jalada duplicate na upelelezi wa shauri utaanza Mara moja epuka kujibizana na aliyekutapeli maana kwenye hasira unaweza kutukana pia epuka kukutana Naye nje ya kituo cha polisi huyo aliyekutapeli.
 
Leo amelipa sehemu ya deni
 
Back
Top Bottom