Habari ya leo,
Nina matumaini wote wazima.
Mimi nimepata mkasa tangu tarehe 12.11.2017, nilienda kununua simu Kariakoo, mtaa wa Aggrey, nikauziwa simu Nokia fake, ambayo nilifanikiwa kuirudisha, ila toka niirudishe nimekuwa nikizungushwa kupata pesa yangu, yaani nimekuwa nikiambiwa kesho, jioni, baada ya siku 2 kwa zaidi ya mara 15 mpaka ikalilazimu kwenda polisi, nimefungua jalada ila polisi nao walipoteza file langu, kwa maana hiyo case haijapata mpelelezi mpaka muda huu ila huyu tapeli anadai nimemtukana hivyo inampa haki yeye kunidhulumu.
Sasa hivi anang'ang'ania lazima tuonane ili anilipe, inauma kwa kweli.
Nahisi ananichezea, nahisi ana nia ya kudhulumu.
Naomba ushauri yakinifu wa kisheria tafadhalini.